Makonda vs ITV

Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.

Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.

Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Kwani taarifa ya habari imeisha?
 
IMG_20170315_193945.jpg
 
Back
Top Bottom