MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,164
Habari Comrades..
Nilipomsikia Waziri wa Fedha akilia lia kuwa Serikali hivi sasa inahangaika kutafuta mkopo wa Tshs 2.1Trilion kutoka kwenye mabenki ya biashara na taasisi nyingine za fedha ili ziweze kusaidia kwenye budget yetu kwakweli nilisikitika na kuamini kuwa sasa ni rasmi kuwa Nchi imefilisika.
Kama Nchi ndio imefikia hatua hii mpaka Waziri anasema masharti ya kupata mkopo huo yamekuwa magumu na ndio mana mpaka sasa hawajafanikiwa kuupata huu mkopo, maana yake ni moja tu...Tz kwa sasa HATUKOPESHEKI...!!
Hii ni kwasababu ya hali yetu kuwa mbaya kiuchumi na deni letu kama Nchi limekuwa kubwa sana ivyo ndio maana mabenki na taasisi nyingine za fedha zinatuwekea masharti magumu kutupatia huo mkopo ili walau wawe na assurance ya kulipwa.
Sasa kama hali ya Nchi ndio mbaya namna hii kulikuwa na haja gani ya kutangaza kwa mbwembwe kununua ndege "Dearbomba" ambazo kwenye kila hotuba lazima zitajwe??
Madhara ya kugawa hela bila kushirikisha Bunge ndio haya. Zile mbwembwe " chuo kikuu ntawapa wiki ijayo 10Bil Muanze kujenga mabweni... Mahakama baada ya siku 5 ntawapa 12Bil mlizoomba.. Magereza nawapa 10Bil... " kama vile hizo pesa zinatoka kwenye wallet yako... madhara yake ndio haya.
Miezi miwili sasa hamtangazi mapato yaliyokusanywa na TRA. Bandarini pale nina mtu wa karibu ananiambia berth za kupaki meli zote zipo nyeupe.. Hakuna meli.
Leo hii chanzo kikuu cha mapato ya serikali kimekuwa faini wanazotoza matrafiki barabarani...!!
Maana makusanyo ya trafiki ndio yanatangazwa... Ya TRA hayatangazwi.
Sasa ni rasmi Nchi imefilisika.