MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,164
Good Morning Comrades..
Ukiacha Tuhuma za wizi wa cheti na kutumia jina ambalo sio la kwake zinazomkabili Paul Makonda RC wa Dsm, hizi tuhuma mpya za kwamba umehongwa magari na mmiliki wa NAS Haulage ili uweze kumwachia baada ya kumtaja kwenye list ya pili ya wauza madawa ya kulevya zinazidi kukuchafua na kukuweka papaya zaidi.
Ushahidi wa picha za magari ukiwa unaendesha,zikiwa zimepaki kwenye parking ya nyumbani kwako Masaki na kwenye ofisi za Clouds Media na Ushahidi mkubwa zaidi wa kadi za TRA kwa magari husika hauachi chembe ya shaka kwamba Mh RC wa Dsm huna uadilifu kabisa na hauwezi kuaminika tena.
Sasa ni wazi na hili sina shaka nalo tena, kumbe vita ya kutaja wafanyabiashara ya madawa ya kulevya ilikuwa ni vita HEWA kabisa.
Hizi ni tuhuma mbali ya tuhuma zako nyingine za wizi wa Cheti cha form 4 na kutumia jina ambalo sio lako zinazokukabili.
Rais Magufuli fanyia kazi tuhuma hizi. Ubishi wako na kiburi chako cha kutomchukulia Paul Makonda hatua kama unavyowachukulia viongozi wengine wenye makosa sio tu hauwapendezi watanzania wengi bali kwa sasa nathubutu kukwambia limekuwa hata CHUKIZO kwa Mungu. Wewe ni Mkristo najua unaelewa namaanisha nini. Hii hali kwa sasa ni CHUKIZO mbele za Mungu.
Mh Rais, Paul Makonda/Daudi Bashite ameshakuchafua kwa kiwango kilicho pitiliza na hawezi kusafishika tena.
Na kwa hali inavyokwenda, mteule wako huyu RC wa Dsm anakwenda kukuchafua zaidi ya hali ilipofikia sasa.
Muda utaongea.
NB: Shukrani za kipekee kwako Dada Mange Kimambi kwa information zako zilizofanikisha uzi huu.
Salute MangeKimambi.