Search results

  1. R

    REDIFINE AFRICA achenj utapeli

    Kwanza kabisa serikali ingeingilia kati hizi kampuni uchwara zinazovaa mwamvuli wa kufanya research zinazoibuka from know where na kutapeli watoto wa watu, kwa kuwafanyisha kazi kwa shida bila kuwapa malipo baada ya kumaliza kazi. REDIFINE AFRICA huwafanyisha kazi watoto wa kike kwa...
  2. R

    Wanawake ni muhimu mkatambua hili

    Kwa wanawake naomba mtambue ya kwamba, Kuna makundi matatu ambayo wanaume wana wagrade wanawake walionao:- 1.Mwanamke ambaye unaenda nae geto mwenyewe. 2.Mwanamke ambaye unamwambia ampe bodaboda simu amuelekeze. 3.Mwanamke ambae unamuelekeza jinsi ya kufika geto mwenyewe. Uzi tayari...
  3. R

    Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

    Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje? Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano...
  4. R

    Hivi haiwezekani interview ikafanywa kwa Kiswahili?

    Nimekuja kugundua watu wengi hawana ajira si kwamba hawana uwezo au akili, lakini Ni Kiingereza ndiyo kiliwakwamisha kupata kazi. Unakuta Mtu ni graduate kabisa lakini Hana uwezo wa kunieleza kwa kiingereza ,lakini Ni mzuri practicaly. Mfano mzuri, hivi kazi Kama bank teller hiyo ata form...
  5. R

    Huyu dada nimueleweje?

    Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli. Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp...
  6. R

    Vidonge vya ciplactin vinaongeza hamu ya kula?

    Waungwana kwema? Ni kweli vidonge hivi Ni kwaajil ya kuleta hamu ya kula? Mimekuta kwenye mkoba wa mke wangu,ananiambia Ni vya kuongezeka hamu ya kula, na siku hizi amenenepa amekuwa na shepu tofauti na mwanzo, wataalam hii Ni kweli? Au ndio mchina at work?
  7. R

    Ana maji mengi sana, afanyeje yapungue?

    Umofia kwenu wakuu, naomba mumsaidie mwanamke wangu ana maji mengi hadi anakosa confidence ya kuduu. Mimi mwenyewe yananikera lakini basi tu ninampenda sana siwezi kumwacha. Afanye nini maji yapungue?hata yeye haiendi hali hiyo,yaani mkidoo godolo lazima lilowe,msaada tafadhali.
  8. R

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza jaribu kuwa na utu

    Ili kulinda chama chako,kiwe kisafi lipa hawa wafanyakazi wako mishahara yao.bosi wako ambae ni Rais Magufuli,anasrma yeye ni raisi wa wawanyonge,iweje wewe unawanyanyasa wanyonge? Wafanyakazi wako wanakufa kwa mawazo ya kukosa pesa,mfano mzuri ni Samadu Hasan,Zuberi Msabaha, John Ngayoma,James...
  9. R

    Wafanyakazi wa Sahara Media Group wagoma wakidai stahiki zao

    Hii ni jana baada ya wafanyakazi wake kwenda na familia zao ofisini kwaajili ya kudai madeni.ninachojiuliza ni kwamba bosi wake haitambui hii inshu au ni vipi.
  10. R

    Msaada: Dawa ya misoprostol inafanya kazi baada ya muda gani?

    Wakuu, Bila shaka hamjambo, naomba kujua hivi dawa ya misoprostol isipofanya kazi baada ya kuitumia, ni muda gani unatakiwa kupita ndio urudie kumeza? Wife kameza haijafanya kazi, ujauzito ni wa wiki tatu na siku kadhaa. Msaada tafadhali
  11. R

    Je, dawa ya Misoprostol isipofanya kazi baada ya kuitumia, ni muda gani unatakiwa kupita ndio urudie kumeza?

    Wakuu bila shaka hamjambo, naomba kujua hivi dawa ya misoprostol isipofanya kazi baada ya kuitumia, ni muda gani unatakiwa kupita ndio urudie kumeza? wife kameza haijafanya kazi , ujauzito ni wa wiki tatu na siku kadhaa.msaada tafadhali
  12. R

    MC Luvanda umenikwaza

    Kwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba wangu, tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha, tukashindwa kuona. ...
  13. R

    Diamond na wimbo wake

    Wakuu mbona diamond haufanyii promo wimbo wake mpya aloutoa last week? Ni kwamba ameupotezea baada ya kelele za mitandaoni?
  14. R

    Pafyumu inaweza kuwa mvuto wa kimapenzi?

    Wakuu, Hivi manukato au harufu ya pafumu, au aina ya pafyumu unayotumia inaweza kuleta mvuto wa kimapenzi kwa pande zote mbili? Me na ke?
  15. R

    Mpenzi wa utotoni ananing'ang'ania, nifanyeje?

    Wakuu, Nilimpenda sana msichana kipindi cha zamani, tukiwa form one. Dada akawa ananiletea mapozi kishenzi, tukapotezana baada ya kila mtu kwenda kusoma high level mikoa tofauti. Tumekuja kuonana ukubwani kila mtu na kazi yake sasa dada ananishobokea hatari hadi naogopa, nikikumbuka alivokuwa...
  16. R

    Namkubali sana Mamybeib wa XXL Clouds Fm, natamani kumfahamu

    Jamani huyu dada ananikosha Sana sauti yake, nataman nimfahamu sura yake ikoje, nilishawahi kumuuliza mtu anipe picha yake akanipa picha ya dj sinyorita bahati nzuri nilikuwa namfahamu, please mwenye picha ya huyo dada naomba, pia mawasiliano yake nikimaanisha namba za simu anipatie tafadhali.
  17. R

    miss Tanzania

    Wakuu nadhan leo ndiyo fainali zinaonyeshwa TV gani nyingine tofauti na clouds tv, Hawa watu hovyo kabisa
  18. R

    Hii husababishwa na nini?

    Wakuu, Nimerudi tena, hivi inakuwaje msichana kabla hujamuandaa mnapotaka kufanya mapenzi anatoka ute ute mwingi sana, mpaka inakuwa hakuna haja ya kumuandaa,? Hii husababishwa na nini?
  19. R

    Muhimu soma hapa

    Wakuu naomba kujua hii kampuni ya Green environmental international Inc inahusika na nn please, na location kwa Tanzania. Shukrani
  20. R

    Chemistry and gas

    Najuta kumshauri ndugu yangu kusoma hiyo fani udsm, yaan serikali isipowapa kazi mwaka huu ataenda kufanya kazi wapii.
Back
Top Bottom