Hii ni jana baada ya wafanyakazi wake kwenda na familia zao ofisini kwaajili ya kudai madeni.ninachojiuliza ni kwamba bosi wake haitambui hii inshu au ni vipi.
Dialo ni mshamba Fulani hivi pia ni Limbukeni mkubwaNa jamaa bado utamkuta pale malaika hotel/Ryans bay hotel yuko anakula zake bata na totoz,hana habari wala nini.
Magufuli alimlipisha kodi hadi akakomba akiba zakee zoteAxee ina umiza ila ndo ivo mambo yamekuwa magumu
Je anazo sasa ?Atapata laana sana ,toa hela za watu
Naskia ni jeuri,alishawatamkia pesa anazo na hatawalipa ,wampeleke popote.Je anazo sasa ?
Walishampeleka mpk mahakama ya kazi,sijui walikuja kuishia naye wapi.Naskia ni jeuri,alishawatamkia pesa anazo na hatawalipa ,wampeleke popote.
Naskia mahakamani hakuna kinachofanyika zaidi ya jamaa kutoa pesa na kesi kusozwa mbele,hawa wanaomfata wamekataa kwenda mahakamaniWalishampeleka mpk mahakama ya kazi,sijui walikuja kuishia naye wapi.
Mbali na laana hiyo ni roho mbaya.Laana aliyopigwa diallo kwa kushiriki uchafu 2015 si ya kitoto !