Search results

  1. CK Allan

    Msigwa: Ufafanuzi wa suala la Simba

    Kiasi hicho hicho "TUTAKITOA" kwa Simba, Ili iweje? Na timu ishaenda
  2. CK Allan

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Kufunga ni pamoja na kushinda tamaa, Kama umefunga Lakini mtu akila ugali kuku mbele Yako unaona kama roho inataka kutoka .. Jikaze ndio mfungo huo
  3. CK Allan

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Yaani wewe umefunga Lakini ukimuona mwenzako anakula roho Yako inataka kutoka, unahangaika na hapo umetoka kula daku usiku yaani Duh
  4. CK Allan

    Makosa matano ya Wafilisti kwa Samsoni

    MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake! Kwa Lugha...
  5. CK Allan

    Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

    Kwamba makusanyo ni machache?🤣
  6. CK Allan

    Vituo vingi vya Dar vimegoma kuuza Mafuta leo Septemba 5, 2023

    Ni ujinga sana unaendelea yaani utadhani nchi tumebkia wenyewe tu
  7. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Huwezi kuelewa hoja yangu kwasababu una akili ndogo... Sema ipo siku utaelewa ninachomaanisha
  8. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Kuna tofauti media ikitangaza inaonyesha MECHI za ligi Fulani.. Na media ikisema inaonyesha LIGI ya nchi Fulani.. Rudia kusoma
  9. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Iyo EPL game Moja Kila weekend? Kwenye UTV.. Ile ni game Moja Kila wiki ambayo hata bukedde tv unaona tu
  10. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Usinitafutie Ban kuku wewe!
  11. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  12. CK Allan

    Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

    Ya KOROGWE TANGA
Back
Top Bottom