Hongereni wafanyakazi wote wa serikali mlioajiriwa APRIL 1, 2014, Leo mmetimiza miaka 10, (miaka 10 kupandishwa cheo mara moja!) Hongereni!

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
533
1,050
Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo,
Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1,

Leo hii wametimiza miaka 10!
Lakini cheo walipata mara moja tu!
Yaani kauli mbiu ni miaka 10 daraja moja!

Miaka 10 daraja moja!

Mungu awatie nguvu,
Na hongereni sana kwa miaka hii 10 katika utumishi wa uma!
 
Duh hi miaka inakimbia hatare 10yrs of employent no savings, no residential house, no plot of 20×30m, no car, but kuna mkopo NMB hapo sioni future, mke wangu nakushauri achana na ajira rudi nyumbani ulee watoto wetu na mme.
 
Daraja moja miaka 10 aibuuu hii na kupoteza muda.Na hili utalikuta kwa watumishi walio serikali za mitaa,ndiyo wanaosaga meno.Pole ndugu ila we jua hakuna anayeumia au kukuonea huruma na huko kukosa madaja kwa wakati.
Mtoa madaraja ye maisha yake ni tofauti na yako msubiri madaraja,pambana na hali yako tu hakuna namna ila ukisema utakwamuliwa na mwanasiasa sahau."Siasa kwaajili ya siasa"na maendeleo yako binafsi kivyako vyako.
 
Magufuli alikuwa ni noma sana. Enzi hizo alikuwa anasema hawezi kuwapandisha madaraja, wala kuwaongezea mishahara watumishi wa umma!

Badala yake hizo pesa ni bora akanunulia ndege mpya za Bombardier, akajengea SGR, akajenga Bwawa la umeme, nk! Tena hapo ni baada ya uhakiki mzito! Wafanyakazi walitoka vijijini kwa gharama zao, na kwenda kuhakikiwa vyeti vyao kwenye Halmashauri zao zilizopo mjini!

Halafu leo sijui watumishi wa umma wanajisikiaje wakisikia hizo ndege zenyewe zilizonunuliwa kwa mbwembwe, kila mwaka zinatengeneza hasara tu badala ya faida.
 
Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo,
Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1,

Leo hii wametimiza miaka 10!
Lakini cheo walipata mara moja tu!
Yaani kauli mbiu ni miaka 10 daraja moja!

Miaka 10 daraja moja!

Mungu awatie nguvu,
Na hongereni sana kwa miaka hii 10 katika utumishi wa uma!
10 years, kitambo sn
 
Daraja moja miaka 10 aibuuu hii na kupoteza muda.Na hili utalikuta kwa watumishi walio serikali za mitaa,ndiyo wanaosaga meno.Pole ndugu ila we jua hakuna anayeumia au kukuonea huruma na huko kukosa madaja kwa wakati.
Mtoa madaraja ye maisha yake ni tofauti na yako msubiri madaraja,pambana na hali yako tu hakuna namna ila ukisema utakwamuliwa na mwanasiasa sahau."Siasa kwaajili ya siasa"na maendeleo yako binafsi kivyako vyako.
Unadanganywa
 
  • Dislike
Reactions: K11
Magufuli alikuwa ni noma sana. Enzi hizo alikuwa anasema hawezi kuwapandisha madaraja, wala kuwaongezea mishahara watumishi wa umma!

Badala yake hizo pesa ni bora akanunulia ndege mpya za Bombardier, akajengea SGR, akajenga Bwawa la umeme, nk! Tena hapo ni baada ya uhakiki mzito! Wafanyakazi walitoka vijijini kwa gharama zao, na kwenda kuhakikiwa vyeti vyao kwenye Halmashauri zao zilizopo mjini!

Hatari sana.
Walinyooshwa
 
Sijui hali za Mishahara za wafanyakazi katika sekta za umma nchi zingine..Ila kwa Tanzania bado tunalipana hela ndogo mno (inabidi upige kazi manake kitaa kigumu).
No wonder watu wanaiba serikalini na kusababishia wafanyakazi wachume dhambi ya wizi bila sababu (japo sekta kama ualimu ni ngumu kuiba..utaiba nin?).
Fikiria ten years umeongezwa labda laki mbili..huyu mtu anaishije?
Akisoma mitandaoni anaona watu flani eti wameongezwa mizigo ya maana kwa kazi ambazo job descriptions zao hata hazieleweki..AU wanasoma kuwa vigogo flani wamechepusha hela ya umma na hakuna hatua tangible zilizochukuliwa..
Unakuta kazi zinafanywa na watu wenye frustrations na malalamiko kibao ambayo yanaleta laana kwa nchi na kudumaza maendeleo yetu.
Hebu tujaliane jamani. Mtu una limchuzi la kutosha ila yule mwenye kamchuzi kakudunduliza unatamani asikapate..niishie hapo.
 
Mkuu serikali haiwezi kukuongezea mshahara laki mbili kwa mkupuo mmoja..

Sana Sana elfu 30 (30k) ambayo ukipiga mahesabu unakuta ongezeko la shiling elfu moja per day..
 
Duh hi miaka inakimbia hatare 10yrs of employent no savings, no residential house, no plot of 20×30m, no car, but kuna mkopo NMB hapo sioni future, mke wangu nakushauri achana na ajira rudi nyumbani ulee watoto wetu na mme.
Mpk hapo wewe tayari utakufa maskini. Hakuna namna utatoboa.

Kwasbb mpk Sasa utakuwa ushaanzisha familia kmtoto amama watoto wameanza shule ama wanakaribia kuanza. Hako kamshahara knatakiwa kaanze kugawanywa kwenda kwenye ada.

Ukijibana mtoto asome st. Kayumba, mtoto atamaliza akiwa teja, ama tatiwa mimba. Unakaribisha utegemezi usiokwiasha na uzee wenye tabu.

Acha kazi hiyo, njoo baharini huku tuvue samaki..
 
Namuonea huruma zaidi yule mwalimu ategemeaye mshahara tu ili maisha yasonge na ndio nature ya kazi yake,muda wote yupo busy mchana darasani usiku anaandaa ya kuibuka nayo kesho darasani halafu kamshahara ndo hako miaka kumi upande daraja ungezeko kiduchu,wakati huo wa TRA,Bandarini,Uhamiaji,vigogo wala teuzi miaka 5 tu wana majumba,magari kama nguo,na salio la kutosha a/c.
Muda fulani ili usife kwa mfadhaiko hapa bongo ni kuwa zutu au addicted na kifariji chako tu na kujali kiajira ulichonacho. Inakera sana
 
Back
Top Bottom