Search results

  1. Elisha Chuma

    Kufanikiwa kunakuja haraka kwa kuwanyanyua wengine

    Wanainuana kwa kupeana nafasi za ajira na fursa, kwa watu wa mzunguko wao hivyo kwa aliefanikiwa utakuwa ameshawasaidia kupata kazi watu wengi ambao wako kwenye mzunguko wake wengi, hii inaweza kuwa moja kwa moja kwenye kazi yake ama sehemu nyingine alipoona fursa ipo ya mtu wake wa karibu...
  2. Elisha Chuma

    Kufanikiwa kunakuja haraka kwa kuwanyanyua wengine

    Kunyanyuka kwako kunakuja kwa kuwanyanyua wengine, usipambane sana kutoka wewe mwenyewe kwenye mzunguko wako, utarudishwa nyuma sana na kulalamikia sana wengine kwa sababu utaona wanafanyika mzigo kwako, lakini hebu jitahidi unaponyanyuka mshike mkono na mwingine/wengine mara nyingi uwezavyo...
  3. Elisha Chuma

    Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

    Kwahiyo kuna haja ya kumjua shetani zaidi ya Mungu, sio kwamba kwa vile Mungu alishamshinda shetani tumtumie yeye na mbinu zake kumshinda. Na hakuna mahali shetani amechukuliwa poa ndio maana imeandikwab anaunguruma kama simba hii ikionyesha mfano wa mnyama, siha na uwezo wake lakini Yesu...
  4. Elisha Chuma

    Nahitaji kijana wa kusimamia akaunti zangu mtandaoni

    Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni. Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe Mshahara : Tshs 150,000/= Ikiwa unajiona unafaa...
  5. Elisha Chuma

    Mjinga sio yule asiye na elimu tu bali hata mwenye elimu na kushindwa kuitumia

    Ndio asiekuwa na elimu ni mjinga. Mjinga ni mtu asiekuwa na eulewa ama maarifa ya kitu,ujinga sio tusi ni hali ya kawaida kwa kila mtu. unaweza kuwa mwerevu hapa ila ukawa mjinga kule ni hali ya kawaida, sasa ikiwa umepata elimu (Maarifa) ukishindwa kuitumia ni mjinga pia. Na pia Elimu sio...
  6. Elisha Chuma

    Mjinga sio yule asiye na elimu tu bali hata mwenye elimu na kushindwa kuitumia

    Ni jambo la kufikirisha, lakini likiwa na maana tunalitafutia ufumbuzi. Unadhani ipi itakuwa njia bora ya kuondoka huko kwako na kwa kila mtu?
  7. Elisha Chuma

    Mjinga sio yule asiye na elimu tu bali hata mwenye elimu na kushindwa kuitumia

    Kila mtu anazaliwa na akili na uwezo wa kutambua mambo, lakini unapopokea elimu ni kuongeza maarifa ya kulitambua jambo kwa undani zaidi, usijifungie kwenye chumba cha makaratasi ya uthibitisho kuwa ndio elimu yako, ila tumia uwezo na maarifa kuwa ndio elimu yako.
  8. Elisha Chuma

    Nafasi ya kazi Secretary

    Kuna ofisi inahitaji Secretary Elimu kuanzia diploma. Miaka kati ya 22 - 34 Awe na uelewa mzuri wa lugha ya Kiswahili na Kingereza ( kusoma, kuandika na kuongea ) uwezo mzuri wa kutumia computer (microsoft office ) Eneo la kazi ni Dar es Salaam. Tuma maombi ambatanisha na CV tu. Mwisho wa...
  9. Elisha Chuma

    Jicho langu la tatu na biashara ya bodaboda

    Nimeona majibu na hoja za wenzangu pia ni mawazo na asanteni kwa michango yenu katika mada hii,nadhani wengi hamjaielewa vizuri mada yangu lakini pia nimelielezea tatizo na aya ya mwisho nimetoa suluhisho la mada yangu nini kifanyike na pia hii ni kwa kuongea nao moja moja wao wenyewe na...
  10. Elisha Chuma

    Jicho langu la tatu na biashara ya bodaboda

    Hivi karibuni nilipata safari za kutembelea mikoa tofauti tofauti hapa nchini Tanzania, lakini pia nilipata fursa ya kubadilishana mawazo na watu wa kada na makundi mbalimbali, usafiri wangu wa kuniwahisha mahali mara nyingi nilitumia pikipiki ama jina maarufu boda boda, kitu kilichonifikirisha...
  11. Elisha Chuma

    Baadhi ya tabia ambazo tumezirithi na zinatuharibu kisaikolojia

    Liandike hili kwenye moyo na akili yako usimiliki watu wala kufanya kitu kwa kutegemea fadhila kila mtu anajitegemea hakuna unachommiliki akifanya ni kwa ridhaa yake sio kwa umiliki wako. Hakuna mtu wako hapa duniani ila kuna marafiki zako katika safari ya maisha yako. #elishachuma
  12. Elisha Chuma

    Matumizi sahihi ya mtandao wa instagram kwa biashara yako vol.1

    Dunia inaenda kasi usipopata maarifa sahihi kwa wakati sahihi pia yanapoteza usahihi wake,mabadiliko ya kimtandao yanafanyika sasa hivi unatakiwa kuwa mnufaika wa kwanza na mabadiliko haya. Nunua sasa kitabu cha matumizi sahihi ya mtandao wa Instagram kwa biashara yako Vol 1. Kinapatikana...
  13. Elisha Chuma

    Unapofanya jambo lako kumbuka pia kuna kufeli na changamoto zake

    Biashara, mahusiano, mipango mingi inafeli sababu watu hawajiandai na changamoto za anachokitafuta ama kukifanya matokeo yake anawaza faida tu, zinapokuja changamoto zake anajikuta anafeli kirahisi sana. Biashara nyingi zinapoandaliwa huwa ni kwa mpango wa "high season" mauzo yako juu lakini...
  14. Elisha Chuma

    Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

    Rudia tena kusoma naimani utaelewa zaidi ya hapo...na uangalie bakora nimeiandika kwa mlengo upi mkuu.
  15. Elisha Chuma

    Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

    Safi kabisa hiyo ndio hekima inayoongelewa nadhani kwa sasa unaielewa vizuri dhana ya ukali na kufunza na kufanya kitu kwa mtoto ili atambue amekosea na hujaridhishwa nacho,zamani ulipokuwa mdogo ulikuwa unaona unaonewa sana kwa ukali wao na fimbo zao lakini kwa sasa unasema bila zile huenda...
  16. Elisha Chuma

    Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

    hakuna mfumo dume kwenye malezi na ila ni umuhimu wa baba kwenye malezi ya mwanae,nadhani wewe ndio unashangilia mfumo dume kwa kuona ni sawa mtoto kulelewa bila baba na baba asijali athari za baadae kwa mwanae...single mother hapati hekima ya baba jibu lake nimeliandika uzuri kwenye moja ya...
  17. Elisha Chuma

    Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

    Kabisa na hapo ndio hekima yenyewe inapohitajika zaidi kutengeneza kiasi kwenye ubongo wako na hicho kiasi kiwe funzo kwa mwanao.
  18. Elisha Chuma

    Hekima ya baba huonekana kwa mtoto

    Haujaelewa bandiko na majibu nnayoyatoa,tumia muda kidogo kufikiri kisha ndio uandike,bandiko langu nimeliweka kwa ujumla nikionyesha umuhimu wa baba kwa mtoto na malezi yake, sijagusia vitu vya kufanya na kuacha, kumkanya mtoto kwa fimbo iko sehemu zote ukimchapa kwa hekima anajua fimbo ni...
  19. Elisha Chuma

    Hatua za kufuata unapofikiria kuanza kufanya biashara yoyote

    ha ha ha haaaaa tayari nimetoa feedback....
Back
Top Bottom