Search results

  1. angelita

    Tunauza nguo za kiume kama mashati na suruali

    Tunauza nguo za kiume Mashati, Suruali na Kaptura za kadeti bei kwanzia 25,000/= hadi 40,000/= Dar unaletewa hadi ulipo utachangia gharama ya usafiri kuringana na mahali ulipo. Mikoani unatumiwa gharama ya utumaji juu yako mteja. Kwa sample zaidi/ kuweka order yako Piga/tuma ujumbe WhatsApp...
  2. angelita

    Wadada mkiitwa kwenye mitoko muwe mnabeba hela ya ziada

    Kuna mambo yanafurahisha hadi huruma. Nimekaa na mdada hapa anahaha sio kidogo, kapigiwa simu na Bwana wake wakutane hapa sasa kawahi kufika bwana bado ndo kumwambia ale anywe chochote atakacho asihofu anakuja amsubiri atalipa. Mdada kafanya kama alivyoambiwa tangu saa 6 hadi sasa hivi saa9...
  3. angelita

    Wanaume walioko kwenye ndoa wana raha sana

    Jioni ya Leo nikapokea simu ya bro, Dogo nakuja home kukuchukua nikale nawe bata za mwisho mwisho karibuni sikupati tena. Leo nikasema wacha nikaoshe macho kabla sijaingia kifungoni, chezea maisha ya kuomba ruhusa. Tangu nipate tumbo nimekuwa mvivu nikasema sio mbaya wacha niende hivyo hivyo...
  4. angelita

    Damu yangu watoto wa Dada zangu tu nyie wengine sina uhakika.

    Kweli ukubwa jalala natamani nirudishe siku nyuma, huku mtoto yuko njiani, harusi michango haisomi huku ndugu wananivuruga basi majanga ya Snura. Leo ndo nimejua kwanini Baba yangu alikuwaga anaongea ayo maneno, wanawake siye sio watu wazuri hata kidogo. Dada yangu mtoto wa baba mdogo ana...
  5. angelita

    Nawaonea wivu wale wote wenye wazazi wao wote wawili au mmoja

    Siku yangu leo haikuwa nzuri hata kidogo. Nimeshinda tu nakumbumbuka nyuma nilikotoka, nikajikuta naangua machozi siku nzima. Miaka 15 sasa tangu nibaki mwemyewe na ndugu, hakuna mama wala baba, bahati mbaya nilizaliwa mwenyewe hakukuwa na wakufarijiana. Maisha hayakuwa mepesi, nimepita vingi...
  6. angelita

    Wanaume wenye Wivu na huna Hela pita hapa.

    Mimi mjumbe tu, Wanaume wenzenu wameandika huko.
  7. angelita

    Wamama wengine wanaroho ngumu, unaanzaje kumtangazia kifo Mzazi mwenzio angali yuko hai??

    Ni msichana mdogo ndo kwanza ametimiza miaka 18 mwaka huu, tunamchukulia Kama mdogo wetu kwenye familia. Alivyomaliza darasa la Saba huko mkoani kwao aliamua kuja mjini kutafuta Maisha, katika harakati zake za kutafuta maisha ndiko tuliko mfahamia na mmoja wa Dada zangu wakubwa aliamua kubeba...
  8. angelita

    Wakaka; chanzo cha kina dada kukimbilia wanaume watu wazima

    Hizi kesi nishashuhudia Mara nyingi Sana, mdada kaumizwa moyo wee mwisho wa siku anaona ajitulize zake kwa mzee apoze maumivu bila kujali ana Familia ama hapana. Kwanza hata akikupa mimba na hawezi kukuoa ila bado atakuwa nawe na kukutunza hadi mwisho. Kuacha hawajui labda uamue kumuacha wewe...
  9. angelita

    Nilitumaini siku tutakuwa pamoja tena, ila sikati tamaa nitangojea

    Wanaume bhana sijui huwa wanatuchukuliaje wakati mwingine. Leo wakati natoka hospital nimetangulia mbele Shemeji yenu nimemuacha nyuma ghafra Ex wangu mmoja hivi mbele yangu. Kuniona katoa mijicho iyo anashangaa, bila salamu kaanza kuniuliza umepata wapi mimba kanishika mkono kazidi kutoa...
  10. angelita

    Enyi wanawake mlioko kwenye ndoa, watunzeni waume zenu

    Wengi wenu mkiolewa mnajisahau sana, mambo yakiwaendea kombo mnabaki kulaumu michepuko. Mnafikiri baada ya kuapa kiapo mumemaliza yote, kumbe ndo kwanza kazi imeanza, yale mahaba uliyokuwa unamuonyesha unaacha ukijua ushamfunga kitanzi. Mwanaume nizaidi ya mtoto ukiteleza kidogo ushamkosa...
  11. angelita

    Wakaka: Unawezaje kuoa mwanamke ambaye humpendi?

    Leo nilikuwa napiga stori na Ex wangu ambaye anataraji wiki mbili zijazo kuanza maisha mapya ya ndoa. Mwanamke ni mkorofi, hapatani na yoyote katika familiya yangu. Kifupi ana mdomo hatari afu hajiamini. Wiki tatu zilizopita nilipokea simu toka kwa huyo dada ananiuliza nina mahusiano gani na...
  12. angelita

    Rich Mavoko ammwaga mzazi mwenzie

    Inasikitisha sana, uko na mtu hana kitu umemvumilia wee na shida zake akipata anakumwaga. Mavoko kaanza kuishi na huyu mdada(Fay) zamani sana, enzi hizo anaishi kigogo hana kitu anakaa chumba kimoja sasa hivi kapanga Nyumba nzima Tabata magengeni anamuona mtoto wa watu hana maana. Ni mambo...
  13. angelita

    Mke kamuua mumewe kisa mali

    Tukio lakusikitisha limetokea mtaani kwetu asubuhi. Huyu Baba alikuwa na mke akamuacha akaoa mwingine ambaye ndiye alikuwa anaishi naye hadi mauti yalipomkuta. Ni mtu ambaye alikuwa na maisha mazuri, kabla hajaoa huyu bibi mdogo alikuwa amejenga tayari nyumba 3, 1 anaishi yeye na mke mdogo na...
  14. angelita

    Nitakupenda daima na wala sitokuacha sahau hilo

    Mimi huwa siwaelewagi hawa watu wanaoitwa ma Ex. Unaweza kuachana na mtu na kila mtu akawa na maisha yake labda Kaoa/Kaolewa, ila kutwa kucha kakuganda utafikiri alizaliwa na wewe. Mtu kama alikuwa anakupenda haimaanishi atakupenda milele, ama mlikuwa wapenzi basi mapenzi yataendelea hata...
  15. angelita

    Ni sahihi kuanzisha Mahusiano na Mfanyakazi Mwenzako?

    Ni kweli umempenda kwa dhati? Wakati mwingine watu huanzisha mahusiano kwa kuwa wamezoea kuonana tu kila siku ofisini, kupeana lunch na zawadi ndogo ndogo hivyo huhisi kuwa amempenda. Kuchanganya mapenzi na kazi ni sawa na kuchanganya maji na mafuta. Kuwa na mpenzi sehemu ya kazi kwa namna...
  16. angelita

    Mtoto wa kike unashangilia kaka yako kuachana na mkewe kweli?

    HilijJambo huwa linanishangaza sana, watoto wa kike kuingilia mahusiano ya kaka zetu. Mkaka miaka 36 anammke na watoto 3 hadi leo yako kwa wazazi. Mambo mengine huwa mnajitakia sana sijui mipango yake ya kimaisha, Ila ndo watoto 3 hadi leo mtu kang'ang'ana kwa wazazi jamani. Mkewe karudi...
  17. angelita

    Ungekuwa wewe ungemshauri nini binti huyu?

    Ni mtoto mdogo hajavuka 18 sema maisha yamemchapa. Ni mwaka na nusu tangu nimjue ni yule msichana hanaga makao ya kudumu zaidi ya kudandia. Sasa katokea Bwana anataka amuweke ndani walikutana katika harakati zake za kudanda danda. Binti jamaa hana hisia naye hata kidogo sema jamaa ndo kafika...
  18. angelita

    Nahitaji msaada wa kusonga mbele

    Miaka minne tangu niachane na aliyekuwa mpenzi wangu, Mwanaume ambaye nilizani ndiyo Omega wangu. Kweli mapenzi yanaumiza sana, naomba niwe mkweli Leo sababu ilifika kipindi nijiue. Mimi najua moyo hupenda mara moja tu mara mbili au tatu bahati. Mimi ni mrefu kwa kweli ila sikuwahi kutamani...
  19. angelita

    Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

    Mwaka na miezi kazaa tangu nimjue sasa, nakumbuka kuna tatizo lilitokea ikabidi nimuone yeye ofisini kwao, ndo ukawa mwanzo wa penzi letu kuchipua. Aliniweka wazi kwamba ana mchumba, ila yuko nje ya mji haikuwa shida sababu nilikuwa na stress zangu za mapenzi niliona nimepata pakuzitolea labda...
  20. angelita

    Dalili za mwanaume asiyekuwa na mapenzi ya kweli

    1. Anaahadi nyingi hazitekelezeki muongo. 2. Msiri hapendi kuweka mambo yake wazi. 3. Anakutafuta akiwa na pesa kwaajili ya starehe, akiwa hana hakutafuti kabisa. 4. Hajali matatizo yako. 5. Mawasiliano sio mazuri, hana tabia yakukujulia hali mara kwa mara. 6. Hutishia kuachana mara kwa...
Back
Top Bottom