angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,431
HilijJambo huwa linanishangaza sana, watoto wa kike kuingilia mahusiano ya kaka zetu.
Mkaka miaka 36 anammke na watoto 3 hadi leo yako kwa wazazi.
Mambo mengine huwa mnajitakia sana sijui mipango yake ya kimaisha, Ila ndo watoto 3 hadi leo mtu kang'ang'ana kwa wazazi jamani.
Mkewe karudi kwao mwezi wa 7 huu kisa jambo dogo, mambo ya ndani kutoa nje, wifi kapata habari huko kamwambia kaka yake. Wacha wamchangie nyumbani nzima mpaka wazazi wifi kinara tena anang'ng'ana hafai.
Wifi mtu ana mtoto miaka 5 sasa, alizalishwa bwana kakataa mtoto, hadi leo yuko kwao miaka 32 yake hana kazi wala kipato cha kusogeza maisha, anagombea ugali wa wazazi. Leo anasherehekea wifi yake kuachana na kaka yake, kila mtu anamsimulia kumpaka ubaya wifi mtu.
Asivyokuwa na aibu anasema kabisa bora alivyoondoka mana walikuwa wanampendelea, kila kitu yeye wa kwanza kumfikiria sikuwa na amani kwetu.