angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,446
Leo nilikuwa napiga stori na Ex wangu ambaye anataraji wiki mbili zijazo kuanza maisha mapya ya ndoa.
Mwanamke ni mkorofi, hapatani na yoyote katika familiya yangu. Kifupi ana mdomo hatari afu hajiamini.
Wiki tatu zilizopita nilipokea simu toka kwa huyo dada ananiuliza nina mahusiano gani na mumewe mtarajiwa, mwisho wa siku nikaishia kupokea text za matusi ya nguoni nikaishia kumcheka tu.
"Ila namuoa sababu ya mama yangu, amemchagua sina jinsi ila tufunge sitafika naye mbali."
Nikaishia kumuimbia ule wimbo "ILO NI CHAGUO LAKO"
NOTE:
Ukiachana na mtu haimaanishi muwe maadui ama haupaswi hata kuongea naye.
Na wala mkishavuliana nguo kwamba mtavuliana milele ayo ni maamuzi ya mtu na akili yake binafsi.
Inaelekea humu wengi wenu mkiachana na wapenzi wenu mnakuwa maadui na wengine bado mnaendelea kukumbushia. Sio kila unalofanya wewe watu wote wanayafanya ama ulivyo wewe watu wote wapo hivyo.