Search results

  1. sir mushi

    Mbowe vs lipumba vs kikwete nani zaidi??

    hapo kikwete tunampambanisha kama mwenyekiti wa ccm na sio uraisi wake. je nikiongozi yupi aliyekipa uhai chama chake toka wapate uenyekiti wa chama. nataka kura zenu ili nape, mnyika, na mtatiro wakawaeleze wakubwa zao.
  2. sir mushi

    weka picha

    imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli wakati mwingine achekesha na wakati mwingine inaboa.. na chaajabu kunawengine watatupia kwenye posti hii"...
  3. sir mushi

    Chuo gani kinaongoza na mademu wakali

    wazee ni chuo kipi kina pina zaukweli hapa tz?
  4. sir mushi

    Wakuu mbona mnausakama uenyekiti wa Mbowe tuu?, Lipumba, Mrema, Cheyo na Mbatia vipi hao?

    Wakati mwingine tuacheni unafki, mtu unapokuwa mnafki hali ya kuwa unautambua ukweli basi wewe hufai kuiongoza na wala kusililizwa na jamii na wewe si mwanademokrasia. Tunamsakama Mbowe kwamba kakaa kwenye uenyekiti mda mrefu pasipo kuangalia mafanikiyo yake katika chama, muda sio tatizo, tatizo...
  5. sir mushi

    Ukubwa wa mashine yangu wawa karaha.

    mimi ni kijana wa miaka 21, tatizo langu uume wangu ni mkubwa kiasi kwamba kila nikikutana na demu wangu anashindwa kufurahia tendo hilo, huyu ni demu wa 5, ambao wanne tumeachana nao kutokana na mashine yangu kuwaumiza, huwa najaribu kusex nao polepole ila wanalalamika sana, mwanzoni nilifikiri...
  6. sir mushi

    wakuu mbona simsikii diamond akijibu mapigo ya p-square

    wazee diamond yupo wp, mbona kimya sana? inamaana dharau za p.square kapotezea au? au ndo anaaandaa nae kazi huko nigeria? tujulishane basi
  7. sir mushi

    wanajamvi tujulisheni yanayojiri kigoma sasa

    waungwana sasa tumbo langu joto hasaninaposikia negative results kwa chadema maana nakipenda sana chama hiki hivyo naomba kujulishwa yanayojiri chadema kigoma na kwingineko tz.
  8. sir mushi

    Waungwana ivi Udom wanatoa PhD??

    sina maana mbaya, labda kwa ujinga wangu nataka kujulishwa tuu kwamba chuo kikuu dodoma wanatoa PhD? nifahamisheni waungwana...
  9. sir mushi

    Dk. Slaa "The Special One"

    pamoja na msemo kwamba ngoma ikivumaa sana hupasuka, lkn bado msemo huu haujauridhisha umma kwa katibu mkuu wa chadema Dk. wilbrod Slaa pale ambapo bado ameendelea kuwa na mvuuto katika jamii.Hii inadhibitishwa na mikutano mbalimbali anayoifanya kuimarisha chama hicho ambapo leo amefanya...
  10. sir mushi

    Amakweli ujinga ni haki yetu watanzania.

    katika hali ya kushangaza bado watanzania tunasumbuliwa na tatizo kubwa la ujinga yaani kutokufikiri zaidi ta hapa tulipo.Waweza kifikiri labda ni tatizo la kutokusoma lkn bado inaonekana ni asili yetu kwani hata hao wasomi hawana tofauti na wasiosoma.Haiwezekani kwamba kuna mada kubwa na nzito...
  11. sir mushi

    Nini kilichomtokea diamond nigeria??

    wakubwa salaam, nimesikia tetesi za kwamba msanii maarufu bongo ma east afrika Diamond alifukuzwa kwenye harusi ya msanii anayeunda kundi la p-square, paulo huko nigeria, eti ni ukwel? na kama ni kweli kisa ninini? kama unapic tupia tuone...
  12. sir mushi

    Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic

    Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic of: 1.University of Dar Es Salaam - It is the oldest and biggest public university in Tanzania. - It is ranked No. 1 in the country according to the Webometrics Ranking of Universities of Tanzania, United...
  13. sir mushi

    'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

    UDOM ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? Namuuliza rafiki yangu anaye soma UDOM anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa...
  14. sir mushi

    Afande Sele: Nitapambana na Abood

    Msanii wa kizazi kipya, mfalme wa rymes, Selemani msindi a.k.a baba tunda, simba dume, AFANDE SELE amesema sasa yupo tayari kwaajili ya mapambano ya kweli katika kuhakikisha jimbo la morogoro linapata kile walichokikosa kwa miaka 50 sasa. Akizungumza ofisin ya chadema kata ya msufini, mkali...
  15. sir mushi

    Prof.mwesiga beregu kuwa makamu mwenyekiti

    taarifa zilitufikia mda huu nikwamba, mjumbe wakamati kuu na mshauri wa chadema profesa mwesiga beregu kuwa makamu mwenyekiti wa chadema taifa, nafasi iliyokuwa imeshikiliwa na mh. Said Arf baada ya kujiuzulu nafasi hiyo..taarifa zinasema tayari jopo la watu wakubwa wa chama hicho limeandaliwa...
  16. sir mushi

    Zitto kuzungumza Kigoma tarehe 29 Novemba,2013

    Aliyekuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA mh. Zitto Kabwe kesho anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa jimboni kwake, vyanzo vya habari kutoka kwa rafiki yake wa karibu anasema ndo ameagana na Zitto mida hii saa 4, ambapo Zitto anaelekea Kigoma. Ajenda ya mkutano huo ni pamoja kukutana na wazee wa...
  17. sir mushi

    Breaking newz!!!"!!

    Breaking newzzzz!!!! Habari zilizopo dunian kwa sasa ni kwamba Mzee wetu mahiri barani Africa, Mzee Nelson Mandela hayuko tena Hai, wala Same wala Moshi, bali yuko kwao South Africa akiendelea vizur na matibabu.
  18. sir mushi

    Wanafunzi wa education sua mnajila..

    minaona wakati mwingine mtu unafanya maisha yakawa magumu mwenyewe, mtu unachagua education sua, ukija huku kwa semista unasoma cozi tisa natena nyingine hazina mahusisno kabisa na ualimu, baada ya semista, maumivu ya kichwa yanaanza kutotimiza credt hours, si bora ungekwenda udom!??? kwanza C...
  19. sir mushi

    Wanaungwana nisaidieni

    naombeni mnitajie vyuo 5 bora hapa tz ambavyo viko serius na elimu
Back
Top Bottom