Breaking newz!!!"!!

Breaking newz!!!"!!

sir mushi

Senior Member
Joined
May 26, 2013
Posts
143
Reaction score
52
Breaking newzzzz!!!!
Habari zilizopo dunian kwa sasa ni kwamba Mzee wetu mahiri barani Africa, Mzee Nelson Mandela hayuko tena Hai,
wala Same wala Moshi,
bali yuko kwao South Africa akiendelea vizur na matibabu.
 
hahahahahaha... mkuuu umenistua kidogo... lakini nilipomalizia kusom presha ikarudi kawaida nikajikuta nacheka tu
 
haahaahaa
amri ya viroba kufungiwa haitekelezwi kabisa lol.!
 
Back
Top Bottom