hapo kikwete tunampambanisha kama mwenyekiti wa ccm na sio uraisi wake. je nikiongozi yupi aliyekipa uhai chama chake toka wapate uenyekiti wa chama. nataka kura zenu ili nape, mnyika, na mtatiro wakawaeleze wakubwa zao.