Search results

  1. Al Zagawi

    Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

    Ni jambo baya sana kutukana matusi ya nguoni kama hivi(kwa sauti ya Mzee Mwinyi wakati mgomo wa chuo kikuu in early 90s)... IMO, social media is for learning and having fun...not a place for bullying na kutoleana lugha za matusi...haipendezi...! Am 48 now, maybe am outdated...nisamehe ikiwa...
  2. Al Zagawi

    Miaka ya 90 pale uwanja wa ndege mzee Mwinyi aliwahi kunipa hela, fulana kwa mkono wake mwenyewe kisha akanambia maneno haya...

    Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu.... Ishi utakavoishi hatimaye utaingia mavumbini... ....ukifa tutasimulia habari zako aidha kwa wema au ubaya wako....tujitahidi kuishi kwa wema ili watu wasimuliwe kuhusu wema tulioufanya kwa watu! Hesabu ya mzee imekamilika naye yupo kwa Mola kupambana na...
  3. Al Zagawi

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Inaitwa hook siyo jebu [emoji3], ina undugu na upper cut ila yenyewe inatokea pembeni...left hook!
  4. Al Zagawi

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Muache kiherehere kwenye mambo ya watu...watu wana jambo lao wee unajipendekeza hapo unaishia kuumizwa na kuchekwa ujinga!
  5. Al Zagawi

    Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

    Mkulima wa Galanos unaendelea vipi...ndimi fundi wa Tanga Tech...?
  6. Al Zagawi

    Biashara ni kushikana mikono, Nashuhudia kwa macho yangu waliokuwa wanafunga mkia darasani na uwezo wa kawaida kiakili wanapiiga mshindo

    Pole sana msomi...! Kama una imani kiasi na mambo ya Mungu utatambua kuwa Mungu ndiyo mtoa rizki na kila mja ana rizki yake muda wa kuwa yupo hai. Njia ya kuzipata rizki ni tofauti, wengine mtazipata kwa kusoma sana na kuajiriwa na wengine watazipata kwa kuchakarika na kujiajiri! Wanasema...
  7. Al Zagawi

    Tuliowahi kuimbishwa na tukaimba huo wimbo wa “Kambona kaolewa huko Ulaya” tutubu sasa

    Tulifanyiwa brain washing ya kufa mtu....! Shuleni kwetu kulikuwa na bango kubwa la siasa ya ubepari ni unyama....40 years later Tz ni nchi ya mabepari!
  8. Al Zagawi

    Nigeria ilianza kuchimba mafuta 1956, bado inauza mafuta ghafi nje na kununua yaliyosafishwa. Tanzania tutatoboa na gesi?

    Huu ndiyo ukweli...watu ambao can't even call Mwizi kuwa ni mwizi instead they water it down to Mpigaji...hawawezi kufanya lolote la maana hata wakiwa na raslimali zote za dunia which Africa has: madini, good land, water bodies, oil and gas etc.
  9. Al Zagawi

    Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

    Ekizakitile....1995 elections ndani ya chama.
  10. Al Zagawi

    Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

    Umeiweka vizuri...chama cha siasa lazima kiwe na makundi ndani..makundi yanasaidia ku shape mwelekeo wa chama na kufanya walio madarakani wasijisahau kwani humo chamani wapo wenye kuzitaka hizo nafasi. Wabongo tuache fikra za kwamba tafauti ya mawazo ni uasi....uasi iwe ni kukiuka katiba!
  11. Al Zagawi

    Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

    Mnakosea sana kuwaita wezi ni wapigaji...kwa staili hii tutachelewa sana. Majizi yaitwe hivyo majizi ili waone aibu japo kidogo....!
  12. Al Zagawi

    Hizi Hapa Mbinu Za Kutengeneza Shamba La Mfano

    Picha za internet...mwenyewe anazalisha miche. Wazalishaji miche wengi ni wachuuzi, hawana mashamba!
  13. Al Zagawi

    Kilimo cha Tufaa (Apple)

    Hata kama itakubali kukua vizuri...kabla ya kufanya large scale shamba ni muhimu kwanza ufanye trials huko shamba...miche 30 au 50.... Miti ya kupanda home huwa inapata special care ambayo ni ngumu ku maintain kwa shamba...ikiwa shamba itakubali with standard care, then utasema jaribio...
  14. Al Zagawi

    Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Huko Tabora panda chikichi mzee....utapata hasara ukipanda minazi. Yupo jamaa yangu alijaribu maeneo ya Kalunde karibu na JKT barabara ya Ulyankulu...yote ilikauka because of tough weather. Usidanganyike kuona minazi majumbani ndiyo ukaamua kuilima...!
  15. Al Zagawi

    Ile ishu ya bandari imeishia wapi?

    La TB Joshua halikubamba sana...wabongo wamechanganyika sana hivyo wanakwepa mijadala ya kidini ili kuepuka kuwakwaza majirani, ndugu, jamaa na wapenzi(bongo ni kawaida kukuta ustadh anakula mlokole and the vice versa is also true)!
  16. Al Zagawi

    Ile ishu ya bandari imeishia wapi?

    Upepo wa maandamano ushapita...sasa ni mjadala wa kazi za JWTZ ni zipi....wengi hawana hata habari kama mjadala huo umeletwa na maandamano ya chadema...[emoji1787] Leo Taifa Stars wanacheza...story zitahamia kwenye afcon [emoji16]
  17. Al Zagawi

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Muda mwingi sana umepita....yumkini alishakufa kitambo au pengine alishajitoa JF!
  18. Al Zagawi

    Kwanini ghafla nimeanza kuupenda mziki wa Congo

    Nahisi utakuwa umeanza kunywa mataputapu [emoji1787]... Zamani walevi wa mnazi, boha, chimpumu etc walikuwa ndiyo washabiki wakubwa wa mziki wa Zaire aka Zairwaaa!
  19. Al Zagawi

    Tunamuomba Rais Samia atembeze kipigo cha mbwa koko

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom