Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Benki ya dunia yaiorodhesha Tanzania kuwa taifa lenye uchumi wa kipato cha kati​

2 Julai 2020
Tanzania John Pombe Magufuli amewapongeza wananchi wa taifa hillo kwa mafanikio hayo

CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Maelezo ya picha,

Benki ya Dunia imeiorodhesha Tanzania katika orodha ya nchi za uchumi wa kipato cha kati.
Hatua hii inajiri miaka mitano kabla ya ruwaza ya maendeleo ya taifa hilo ambapo ilikuwa imelenga kuafikia kiwango hicho kufikia 2025.
Na kufuatia hatua hiyo rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amewapongeza wananchi wa taifa hillo kwa mafanikio hayo.

Ni lini tena tutarudia hapa?
 
Ila Mwendazake alikuwa na makopo mengi sana 🤣🤣

Kwani Tanzania Imewahi Toka lini? Unajua hata vigezo kweli wewe au unaongea ujinga? Napata Hadi aibu kukujibu.

Mwisho nenda uka google classifications za kuwa Uchumi wa kati harafu uje uniambie Tanzania ilitolewa lini?
 
Mpambe mama na kwenye hilo, mbona unaishia kujichoresha?
 
Aliyesababisha Hadi Sukari kutoa 1500-2000 Hadi 3000-3500 ni Magufuli.

Huko kwenye umeme hakuna miujiza yeyote sana sana ni kwamba matumizi ya umeme yalipungua Kwa sababu watu walikimbia na kufunga biashara hivyo grid haikuwa na pressure tofauti na Sasa ambako kila kitu kimefunguka.

Hakuna wakati wowote Nchi hii Iko pazuri kushinda awamu ya 6,Kumlinganisha mtu aliyepora pesa za wafanyabiashara na Watumishi Kwa sababu ya kufilisika ni kumkosea heshima Samia.

Mwisho hakuna mtu anakukataza kumuwaza Mwendazake,wenzako wanaomtumia kama.kete ya siasa Kwa wajinga wewe unamkumbuka kushinda Muumba wako,hapo ndipo laana itakutafuna.
Angalia idadi ya "" kati yako na mleta mada ndio utaelewa upumbavu wako na wafuasi wako.
 
Hii ni hoja ya kijinga tupu

Unataka kuniambia dreva wa bus anaweza kukwepa watu wawili wanaokatiza barabara ili asababishe ajali ya mamia ya watu?

Hao unaowauliza, kwa kionfozi yeyote, narudia tena, kiongozi yeyote atakayedhamilia kuleta mabadiriko ya kweli, itambidi afyeke wachache hasa waliofungamana na masilahi binafsi
Mkuu, hii ndio akili yako yote? Ndio akili inayokuongoza kuishi? Kama ndivyo basi watu wako wa karibu wanakuvumilia sana.
 
😂😂

Unataka nikufurahishe mkuu, yaani unapenda kuambiwa uwongo ili utabasamu mkuu

Ni hivi, hakuna nchi hata moja duniani inayocheka na wauza nchi, wasaliti na wenye kujipendekeza kwa makoloni halafu aachwe
 
Narudia tena hakuna Rais wa kumlinganisha na Samia.

Mfano mdogo huu hapa Mbeya ,skimu 12 za Umwagiliaji over 100bln

View: https://youtu.be/SnTWY9yYM6o?si=pla-71QTAMOwp0Ot

Umeisoma hii

Tuache siasa na tuseme ukweli, Rais hana mbinu tena za kuivusha nchi

JamiiForums

Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya uraisi​

1 of 3Next Last
Unwatch
•••
[IMG alt="Championship"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/562/562446.jpg?1649285866[/IMG]

Championship

JF-Expert Member​

1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.

2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi.

3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna anayejali. Yaani sasa hivi huduma za muhimu zimekuwa anasa.

4. Mfumuko mkubwa wa bei kwa bidhaa mbalimbali kutokana na uongezaji wa bei ya mafuta yanayoingia dar es salaam.

5. Nchi haijawezesha uzalishaji na uchakataji wa mazao na bidhaa ili angalau tuongeze mauzo ya nje.

6. Bei za magari zimeongezeka maradufu kutokana na kupandisha kodi. Mwaka 2020 nilimnunulia dogo kutoka yard IST kwa 10.8m leo hii inauzwa 17m.

7. Nauli za daladala zilikuwa shilingi 400 mwaka 2021 na sasa ni shilingi 600. Ongezeko la asilimia 50.

8. Hakuna uelekeo kwenye suala la kuongeza fursa za ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo mbalimbali.

9. Ubadhilifu na ufisadi mkubwa katika halmashauri na mashirika ya umma. Ripoti za CAG zinapuuzwa.

10. Reli ya sgr haieleweki itaanza lini. Kuna dalili ikafika 2025 kabla haijaanza. Bwana la Mwalimu Nyerere imekuwa siasa.
 
Hao si ni Haters tuu kama wewe.Umeona ameongea kipi Cha maana hapo?

Mfano mdogo tuu hapo Kwa CAG ni Samia ndio kaajiri Wakakugi kibao,kaongeza Bajeti ya kufanya ukaguzi na anachukua hatua.

Yule mwingine alikuwa anafukuza CAG na aliweka Baadhi ya Taasisi zisikagukiwe eg TanRoads 😁😁

Narudia tena hakuna Rais wa kumfikia Samia Kwa miradi sekta zote unazozijua wewe kama unataka sema nikuwekee
 
94021933_10163146372565198_3664557871808380928_n.jpg

MAGUFULI: HAKUNA KUZUIA WATU KUTOKA NDANI (LOCKDOWN) DAR WALA SEHEMU YOYOTE TANZANIA KWA SABABU YA CORONA
1. “Wapo wengine wanatoa mawazo ya kuifunga Dar es Salamaam hilo haliwezekani kwasababu karibu asilimia 80 ya ukusanyaji wa kodi kwa nchi yetu inapatikana Dar es salaam, tuendelee kuchukua hatua lakini kuifungia Dar hiyo ‘never’ na tunatakiwa tujue kuwa idadi ya watu wake ni karibu milioni sita (6) kwa hiyo uwezekano wa kuwa na wagonjwa wengi ni mkubwa ikilinganishwa na mikoa mingine. Hakuna 'lockdown' itakayifanyika sehemu yoyote ya nchi".
2. "Nawapongeza viongozi wa dini na watanzania kwa ujumla kwa kuitikia wito wa kuliombea taifa kwa siku 3 dhidi ya Covid19."
3. "Tuwe wakweli kwenye kutoa taarifa, tusiwafiche. Mfano kwa taarifa za leo tuna wagonjwa 284 lakini waliopona ni 11, lakini mimi taarifa niliyopewa hapa waliopona ni 100, tusiwajengee hofu Watanzania".
4. "Hakuna virusi wanaokufa kwa fumigation. Kilichofanyika Dar es Salaam kupuliza dawa yenye kemikali ni upuuzi. Wanaokufa kwenye fumigation ni mende na si virusi ikiwemo virusi vya Corona. Suala la kupuliza dawa ni upumbavu mtupu. Hakuna kirusi cha Corona kinachoweza kufa kwa Chlorine. Naomba IGP na Vyombo ulinzi mkachunguze walikuwa na lengo gani na nani alitoa hizo dawa”
5. “Tunajua kuwa 'fumigation' inauwa wadudu kama viroboto, chawa na si Virusi sasa sijui ni nani aliyesema mkoa wa Dar es Salaam ufanyiwe hivyo naomba hili suala lichunguzwe siyo kila kitu kinachotoka nje lazima tukifanye tutakuta tunasaidia kusambaza Corona,”
6. "Hii fumigation iliyokuwa inafanyika Dar es Salaam ni upuuzi mtupu, kwa sababu virus wa corona huwezi ukamuua kwa chlorine, virus yule ni mafuta, na lile linapasuka pasuka kwa kutumia sabuni au pombe".
7. “Dar na Mwanza niliona mabasi yanapulizwa dawa na hasa Dar, hakuna upuliziaji dawa unaoweza kuua corona, ingekuwa pakipulizwa corona wanakufa, nchi zilizoendelea wangemwagia nchi zao kwa ndege na wasingekuwa wanakufa, kule kupuliza dawa ni upuuzi tu”.

8. “Huwezi kuua corona kwa kupuliza dawa kwenye mabasi na mitaani ile unaua mende na wadudu wengine, ila hatujiulizi kwamba labda kupuliza ndio tunaongeza corona, maana Dar imepulizwa dawa tu na kasi ya wagonjwa imeongezeka, vyombo vya ulinzi mkachunguze nani alitoa hizo dawa”
9. "Hakuna sababu ya kuweka watu karantini kwa siku 14. Kama mtu umempima ukaona hana tatizo mruhusu aende nyumbani. Tubaki kushughulika na wagonjwa."
10. "Tutumie njia za asili kujikinga. Ukijifukiza kwa nyuzi joto zinazozidi 100 kama una kirusi cha korona kitapasukapasuka. Wanaotumia mwarobaini na vitunguu waendelee kutumia."
11. "Barakoa zinazotoka nje inawezekana zimebeba virusi vya corona. Kuna baadhi ya nchi wamechunguza misaada hii inaweza kuleta Corona zaidi. Tujihadhari na barakoa hasa za kupewa msaada kutoka nje. Kama mtu anaweza kujishonea barakoa yake shona vaa. Viwanda vya ndani pia vianze kutengeneza barakoa kwa usalama wetu."
12. “Ugonjwa huu umekumba dunia nzima na kama tunavyofahamu uwezo wa nchi za Afrika kiuchumi hauwezi ukalingana na nchi zilizoendelea, tunaziomba nchi hizi hasa benki ya dunia badala ya kukopesha watusamehe wanayotudai."
13. “Kwa sisi Tanzania huwa tunalipa karibu bilioni 700 kila mwezi sasa ni wakati muafaka wa benki ya dunia ambayo imeguswa na janga hili itusamehe madeni hayo ili fedha hizo zikatumike katika kupambana na janga hili la corona,”
14. “Niziombe taasisi za Fedha Duniani kwa sisi nchi maskini badala ya kutoa unafuu wa Mikopo kwa ajili ya kupambana na Corona watufutie baadhi ya madeni au kupunguza riba katika mikopo tunayolipa kusudi mapato tunayopata yakapambane na corona na si kulipa madeni”
-
15. "Ni wakati muafaka wa Benki ya Dunia ambayo imeguswa na ugonjwa huu na wana nia nzuri ya kutusaidia katika ugonjwa huu watusamehe madeni hata by percentage, ili kusudi hizi fedha tunazolipa na interest katika fedha tulizokopa zikatumike katika kupambana na Corona".
John Pombe Magufuli
Rais wa Tanzania
________________________________
NOTE: Binafsi kuna baadhi ya mambo nimemuelewa Rais katika hotuba ya leo akilihutubia Taifa kuhusu hali ya Corona na baadhi sikubaliani nayo au tuseme pengine sijamuelewa kwa sasa na pengine nikaelewa baadae sana au nisielewe kabisa.
Nitaeleza baadae ni yapi ninakubaliana na yapi sikubaliani nayo katika hotuba hii ya Rais Magufuli. Wacha niendelee kutafakari.
Je wewe ni kipengele kipi hapo juu umekielewa/unakubaliana nacho zaidi na kipi hujakielewa/hukubaliani nacho?
Nini maoni yako? (Chonde chonde, Maoni yawe ya staha jamani hii ni hotuba ya Rais sio ya Mwenyekiti wa Kitongoji)
Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
 
View attachment 2971213

Mwamba !
Mvua za leo Dar watu wamemkumbuka wanasema kama angekuwepo huenda flyovers zingekuwa zimeshajengwa kwenye kila Junction za barabara 😅😅🙏🙏
 
Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli

Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi

hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo?

Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za vyakula mbali na kuwa kwenye janga la Korona dunia nzima?

Alitumia mbinu gani kufanya nishati ya mafuta isipande na nauli kuwa juu, licha kwamba kipindi cha Korona meli nyingi zilipaki?

Sukari nayo imeshindikana sasa kushuka licha ya kuwa na kiwanda cha Bagamoyo sugar na kikubwa kulikoni vyote East Africa, sukari kg 4000 mpaka 4500, kweli???

Tunatafutana nini hapo?

kila mtu anayetokea mikoa ya mbali atakubaliana nami kwamba, kwa sasa suala na safari kutoka mkoa hadi mkoa, ni kama adhabu ya ndogo ya jehanamu

Kutoka kuwa na nauli ya tsh 70,000 kwenda Bukoba hadi 100,000+

Kutoka nauli ya 300 jijini Dar hadi 900 na 1100??

Halafu kuna mpuuzi mmoja anaendelea kusema ni sawa?

Kutoka kuwa na matibabu ziro kwa wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 0 hadi 5, leo ni pesa??

Kutoka kuwa na umeme 27,000 wa REA hadi kutojulikana kama kuna REA au hakuna, maana bei ni ileile 310,000, bado kuna mjinga anaona ni sawa?

Tusikumkumbuke Magufuli kwa sababu ya wajinga wachache aliowatimua kazini?

Kwa sababu tu aliwadhibiti waliokuwa wanajilipa mapesa kupitia watumishi hewa?

Hao ndio watufanye tusisemee mazuri hayo kwa sababu ya matusi yao mitandaoni?

Mnataka tuwasifu kwenye lipi sasa ikiwa kila kitu kimepanda bei?

Watu hawalazimishwi kusifia, wafanyie mambo mazuri wakusifu, kwa sasa tusifu nini na tumsifie nani na kwa lipi?

2025 nayo ile palee, kila kitu kimegoma kurudi mahali pake,, mtatuambia nini wapiga kura sisi?

Tisheti na kanga?

Na bahati mbaya hata makanisani na misikitini huwa mnakwenda kumzuga padri, Asikofu na shekhe ili hali mkijua njia yenu ni ovu kuliko waovu wote, mnasubiri muibe kura 😂 na mjitangaze mmeshinda kwa kishindo!!

Mnakula mema ya nchi mkiendelea kuwahadaa wananchi walala hoi kwamba mnawatengenezea maisha bora? Njia zenyewe ndio hizo za kupandisha gharama kwenye kila bidhaa??

Mungu ilinde Tanzania kwa mkono wako wa chuma!

Uwabariki viongozi wetu waçhache wanaomaanisha kuwatumikia wananchi
Ubarikiwe. Unafiki unatuponza bila kuacha njaa na uchawa
 
Tunaemdelea kumkumbuka Magufuli hadi leo.kwa Sasa huyu mama kaivuruga vuruga Nchi pasipokujulikana tunaelekea wapi
 
Mwamba !
Mvua za leo Dar watu wamemkumbuka wanasema kama angekuwepo huenda flyovers zingekuwa zimeshajengwa kwenye kila Junction za barabara 😅😅🙏🙏
Angetumia nini kujenga? Na kama alikuwa na uwezo kwa nini miaka yote 6 alijenga flyover 2 tu? Ya Kijazi na ya Mfugale
 
Huko kwenye umeme hakuna miujiza yeyote sana sana ni kwamba matumizi ya umeme yalipungua Kwa sababu watu walikimbia na kufunga biashara hivyo grid haikuwa na pressure tofauti na Sasa ambako kila kitu kimefunguka.
Bro, ni kweli unamchukia JPM lkn this is too much.

Ni biashara/kampuni zipi hizo zilizofungwa kipindi cha JPM mpaka kusababisha Pressure ya umeme kupatikana muda wote, naomba unitajie hizo biashara/kampuni.
 
Magufuli was a madman, we didn't deserve him to be president of this great country. Asante Mungu kwa kumtoa mapema kabla hajaharibu sana
 
Back
Top Bottom