Tuliowahi kuimbishwa na tukaimba huo wimbo wa “Kambona kaolewa huko Ulaya” tutubu sasa

Oscar Kambona alikuwa anafanya mambo undercover ili kuweza kumu out smart NYERERE,
Nyerere angekuwa smart cha chake kisingerithiwa na wahuni wanaouza nchi sasa .

Nyerere hakuwa smart na ndio maana alikufa maskini akiwaacha wahuni wakila na kufuja mema yote ya nchi.

Kambona alikuwa smart kuliko Nyerere aliyepewa hisani na wajanja wa kariakoo 😂
 
Ilikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa p/school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia ccm na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi za Nyerere' (mwenyekiti wa chama).

Kuna huu wimbo kila ninapokumbuka tulivyokuwa tunapaza sauti kuimba huwa najiona ni mwenye dhambi kwa kumsimanga Kambona pasipo kujua kosa lake hasa lilikuwa ni nini.

Nilitubu baada ya kujua ukweli nikiwa mtu mzima na Mungu anisamehe 7×70.

Nawaomba pia wazee wenzangu tulioimba nao huo wimbo kama mpo hapa tubuni na Mungu atawasamehe.

Tunaposema CCM ni muasisi wa nyimbo zisizofaa muwe mnatuelewa, walianza siku nyingi sana kutunga nyimbo za hovyo na kuwaimbisha watu (hasa watoto wa shule)

Simjui mtunzi wa huo wimbo ni nani ila naweka hapa mashairi ya huo wimbo ili wale kizazi cha zama za uwazi na ukweli + wasianze kuuliza ni wimbo gani huo..

Wimbo ni huu.... ".... Kambona aaaah aaaah Kambona ameo,,,wa, wapi aaaah aaaah wapi huko ulaya, wivu aaaah aaaah wivu wamkereketaaa".

Nimetubu na kila siku ninatubu kwa hiyo dhambi.
Nyerere naye alitikisa sana miaka hiyo.
 
Tuliaminishwa Bila ya kuhoji , kuwaona Watawala kama miungu watu , Nafikiri ugomvi wa Capitalist na communist Hii ni sababu pia.

Nachelea kusema kuwa Kuna watu wanaamini sisiemu ni dini of which per SE somehow Kuna ukweli .

Chadema tuilete
Tuichane chane tuitupe,
Sisiemu tuilete
Tuikumbatie tuibusu.
 
Tuliaminishwa Bila ya kuhoji , kuwaona Watawala kama miungu watu , Nafikiri ugomvi wa Capitalist na communist Hii ni sababu pia.

Nachelea kusema kuwa Kuna watu wanaamini sisiemu ni dini of which per SE somehow Kuna ukweli .

Chadema tuilete
Tuichane chane tuitupe,
Sisiemu tuilete
Tuikumbatie tuibusu.
bonge la ngoma ilo mkuu halichujagi hilo dude 🐒
 
Tulifanyiwa brain washing ya kufa mtu....!

Shuleni kwetu kulikuwa na bango kubwa la siasa ya ubepari ni unyama....40 years later Tz ni nchi ya mabepari!
Shida alikuwa Nyerere alikuwa na Element za Kimaskini na Fikra kama hizo. Aliamini sana kwenye kuomba omba.

Sasa akienda kwa Russia na China anawaona kama Miungu.....wakoloni ambao hasa ndio wametuokoa akawaona kama mashetani
 
Kil

Kila siku kabla ya kuingia darasani lazima Goma lipigwe .

Thanks to philosophy , At Early age Tukaanza kuquestion Tuliyofundishwa. Wachache lakini wengi Bado wamegoma kutoka pangoni .


Plato allegory of the cave
kwa miaka 10 katika 1000 atatoka 1 tu pangoni tena kwa tabu sana na akiwa amechoka sana hawez fanya lolote tena popote...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom