Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
Mnakosea sana kuwaita wezi ni wapigaji...kwa staili hii tutachelewa sana.

Majizi yaitwe hivyo majizi ili waone aibu japo kidogo....!
 
Akili ya Luhaga Mpina mmoja ni sawa na akili za viongozi waandamizi Chadema watatu.
Tanzania ina watu wa ajabu wasio na aibu kutoficha aibu yao. Waraka uandikwe na mwana CCM, uigawe CCM kwenye makundi mawili ya wanaukubali na wanaoukataa. Mlingananisho unaufanya kwa viongozi wa chadema ambao hawana habari na huo waraka. Iseee hebu kapime hilo dish!!
 
Hata Kigwangala huwa anaongea ukweli lakini wakati gani? Aeleze ukweli kuhusu yale mahekar ya ardh anayomiliki kule Morogoro
Kwa hiyo, kwasababu wote ni wezi hawapaswi kusemana alafu nyie mnawashangilia na kuwashabikia.
 
Anayesema ukweli mnapiga misumari ya kupoteza ugali, hivi watu mtakuwa kondoo mpaka lini? Unataka asifie palipo na uozo ili kuonyesha unyenyekuvu?
Read " I am the state " alitokea mfalme mmoja akajenga na uwanja wa ndege kijijini kwao kabisaaa. Na tulimsifia kwamba ni masiha wetu.
 
Kwa sababu Chadema hawana uwezo wa kujenga hoja kama Mpina.
Wao kama wapinzani walipaswa kuyafanya haya anayoyafanya Mpina.
Badala yake Chadema wao wanaedeleza siasa za kuandama watu binafsi, (Personal Attacks ).
Chadema wamekalia visasi kwa wale ambao wao wanadhani walishiriki kwa namna moja au nyingine kuwafanya wawe nje ya bunge na kuukosa ulaji kwa miaka hii mitano.

Mpina ni mwanasiasa mahiri sababu yeye anapambana na CCM, ilhali yuko humo humo.

Mpina hatukani mtu bali anatoa hoja ambazo zinawaweka CCM mahali pagumu kuzijibu.
Mpina anajenga hoja ambazo wananchi wanazielewa na pia kumuelewa.
Ndio maana nimesema bila kupepesa kwambaa...Mpina mmoja ni sawa na viongozi watatu waandamizi wa Chadema .
Hili halina ubishi.
Hana tonge mdomoni kwasasa full stop
 
Back
Top Bottom