Search results

  1. Mess

    Kubenea, Kibanda, Professor J, Roma hii ni ndoto yangu tu

    Nawaza kama timu CHADEMA niijuayo itakuwa bungeni, halafu tukaongeza Kubenea, Kibanda, Prof. J, Roma na wengine wengi. Tutakuwa tunaacha mechi za premier, na za nchini kuwahi kuangalia Bunge. Kwa nini nimewataja hawa? Kwa kuanzia, wana sifa moja inafanana, nayo ni "Hawana woga penye ukweli"
  2. Mess

    TRA - Matumizi ya akili ya ziada ni muhimu

    Nimesikia wafanyabishara wakigomea kutumia mashine za TRA na TRA na waziri mkuu kuwalazimisha kuzitumia mashine hizo. Sasa kwa kusikia tu nimeona mapungufu kwa upande wa TRA na serikali dhidi maisha ya watanzania ambao ndio walipa kodi. Mosi, hiki ni kipindi cha utandawazi sio sawa na...
  3. Mess

    Nimekuja kumjibu Zitto niendelee na majukumu mengine

    Kwenye tweet ya Zitto jana amemsema Sumaye kuwa si yule yule tuliyeaminishwa kuwa si msafi iweje leo ajifanye msafi, akamalizia kwa kusema 'watanzania tuna ugonjwa wa kusahau" ujumbe ni huo ila sijanukuuu kama alivyoandika. Zitto, usahaulifu wetu watanzania ndio mtaji wenu wanasiasa wote, ila...
  4. Mess

    Maoni ya katiba msisahau hili mtakaopitiwa

    Kuwe na mdahalo wa wa wagombea wa urais ili wananchi waweze elewa nani anauwezo wa kuwaongoza na nani yupo kwa sababu kawekwa na rafiki zake. Tupendekeze midahalo mitatu kabla ya uchaguzi na wasimame waulizwe na waulizane. Kwa sababu ukiwa rais pamoja na ushauri pia akili yako ni ya muhimu sana...
  5. Mess

    Soma then chukua hatua

    Mwanzoni mwa mwezi huu kuna jamaa alitoka kwenye mizunguko yake ya maisha (anakaa majohe kwa mkolemba) alipofika pale kwa mkolemba alikodi piki piki na yule dereva wa piki piki alimbeba na kumfikisha nyumbani kwake. Yule bwana kwa bahati mbaya hakuwa na change akamwambia mwendesha piki piki kuwa...
  6. Mess

    Ushauri Kwa chama changu CCM

    Msijikite sana kwenye kutoa matamko imarisheni chama, hakikisheni polisi hawafanyi vurugu mikutano ya chadema maana watu wavivu kufikiria vurugu ikitokea wanafikiria ni CCM tu. Kuweni bize na ahadi lukuki mlizozitoa ili kujipa mazingira mazuri 2015. Vinginevyo mkijikita na mbinu mlizozitumia kwa...
  7. Mess

    Serikali - Magari ya uchafu na mabasi ya UDA ni chakavu

    Magari chakavu ya uchafu (ya halmashauri) na UDA yanasababisha ajari nyingi sana barabarani, ukiona magari ya taka kwa wale wanaoishi ukonga wanajua jinsi yale magari ambavyo yameshasabaisha ajari nyingi mbaya kabisa. Mabasi ya UDA ukiyaona ni chakavu sana sana, sasa serikali inatoa mfano gani...
  8. Mess

    Wizara ya Afya nauliza swali.....

    Hivi kwa nini kuna watu wanasema wanatoa sumu mwilini, kuna watu wanasema wana vipimo vya magonjwa 29, kuna watu wanasema wanatibu vidonda vya tumbo, kansa, sukari, HIV n.k. Hawa watu hawajajificha na wengine sasa hivi wanajiita ma professor eti kwa kudanganya watu na wamefungua vituo vyao...
  9. Mess

    Msaada sticker ya fire

    Jamani nimelipia Motor vehicle licence nikaambiwa wameongeza na elfu ishirini ya fire sticker then nikachukue kule bure. Wakanielekeza jengo la ushirika TRA hao 1st floor nimeenda kule nimemkuta receptionist akaniambia pale hawatoi ila nipeleke fire wakakague fire extinguisher then watanipa...
  10. Mess

    January Makamba, vipi ile ahadi juu ya makampuni ya simu?

    Wana JF, Labda mimi nipo nyuma ya wakati, huyu kijana aliahidi kushughulikia kero za simu kwa watumiaji. Ikiwamo message zinazoingia bila mpango, charges za simu, kutopatikana kwa simu wakati iko on, muingiliano wa mawasiliano, huduma za kutuma pesa na vitu vinginevyo. Hivi amefikia wapi...
  11. Mess

    Kila mwana JF soma hapa "Kipepeo" ni nani?

    Naomba majibu yenu: Re: Serikali ya kikwete kuanza mauaji ni kushindwa kuongoza nchi Mtu ukitumwa changanya na akili yako kidogo kuepusha sisi werevu kujua kwamba umetumwa Today, 14:49 Re: Serikali ya kikwete kuanza mauaji ni kushindwa kuongoza nchi...
  12. Mess

    Madaktari wafukuzwe CCM

    Madaktari wanadhalilisha chama tawala na kukifanya kionekane hakifanyi na kutekeleza majukumu yake hivyo napendekeza wote wafukuzwe CCM na CUF na hatuhitaji kula zao kama zile za wafanyakazi tulizozikataa na tukashinda. Kushinda ni wajibu, changamoto hazikosekani.
  13. Mess

    Walimu wanafelisha, madaktari watafanya nini?

    Jamani mgomo baridi unaoendelea wa walimu impact zake kila mmoja ameziona kwenye elimu ya Tanzania kwa sasa baada ya serikali kutumia mabavu. Swali langu kama madaktari wataamua kurudi kazini na kuanzisha mgomo baridi matokeo yake yatakuwa nini? My opinion: tuungane na madaktari ili wakirudi...
  14. Mess

    CD za jumla, za kibongo na zisizo.

    Natafuta mahali ambapo naweza pata CD za jumla zile za kibongo na zile zisizo za kibongo. Nawaombeni na bei zake kama kuna mtu ana detail za mahali zinapatikana
  15. Mess

    Mbona kila wanachosema naona wanakosea

    Siku hizi nawasikiliza wabunge wa chama tawala kila wanalosema naona wanakosea hivi wanafanya makusudi au wanafanya nini? Jana namsikia aliyekuwa mwanasheria mkuu anawabeza chadema eti kuwa walisema wangepata katiba ndani ya siku mia moja, hivi nani aliyesema hayo??? Mimi nadhani na wote...
  16. Mess

    Naamini Serikali Imelala usingizi

    Majuzi nimesikia wizara ya afya ikisema hawamtambui yule daktari wa vidonda vya tumbo pale buguruni Dr. Lubago. Kuwa dawa zake hazijathibitishwa na wizara, cha kushangaza ni kwamba yule mama ameenda bungeni zaidi ya mara mbili akipewa nafasi ya kuongelea dawa zake na amekuwa akisema...
  17. Mess

    Mwizi akivaa vazi la padri au Kanzu, au hijabu tumschape tumwache?

    Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la kidini? maaana binafsi naona alitenda kosa angevaa kimini na sio vazi lile la heshima kabisa kidini...
  18. Mess

    Jamani Bungeni hamna kitu ebu oneni hili

    Naibu waziri wa kazi Mheshimiwa Makongoro kaulizwa swali kuwa, kwa kuwa wastaafu wanaishi katika maisha magumu na pengine hufa mapema serikali inaonaje kama itawalipa wastaafu kila mwezi katika rate ambazo zinaendana na maisha ya sasa kulingana na nyazifa zao wakati wa kustaafu. Jibu La...
  19. Mess

    Mawaziri wa JK Noma - Ezekiel Mayige

    Nimegundua kuwa mawaziri wa JK huwezi kutuliza akili ukawasikiliza kabisa. Kwanza hawako connected wanapoanza kutoa hotuba zao, yaani namaanisha akisema kitu kimoja hafikishi mwisho anaanza kingine na harudi tena nyuma na huko nako anakoendelea nako hamalizi. Kwa mfano jana nilikaa kumsikiliza...
  20. Mess

    Gharama mpya za Umeme: BBC Wamkaanga Kikwete

    BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa Kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani. My take: Hatuna rais
Back
Top Bottom