Kila mwana JF soma hapa "Kipepeo" ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mwana JF soma hapa "Kipepeo" ni nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mess, Jul 10, 2012.

 1. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naomba majibu yenu:

  [​IMG] Re: Serikali ya kikwete kuanza mauaji ni kushindwa kuongoza nchi
  Mtu ukitumwa changanya na akili yako kidogo kuepusha sisi werevu kujua kwamba umetumwa ​


  Today, 14:49

  [h=3][​IMG] Re: Serikali ya kikwete kuanza mauaji ni kushindwa kuongoza nchi[/h]
  jaribu kuwa kati katika kesi inayohusu pande mbili zinazosigana unless una ushahidi wa kutosha na sisi tunakuomba ili tukuunge mkono. ​
  Yesterday, 15:21

  [h=3][​IMG] Re: Majibu ya jack zoka yana utata![/h]
  Kiingereza ndio kimekuwa kigumu kwa mleta mada lakini hakuna ubaya wa maneno hayo ​
  Yesterday, 15:18

  [h=3][​IMG] Re: Majibu ya jack zoka yana utata![/h]
  hata ingekuwa ni kweli hayo maneno yangekuwa ni ya Zoka bado sijaona ubaya wake ninachoona hapo ni mleta thread kujaza ushabiki dhidi ya kauli hiyo. ​
  Yesterday, 08:20

  [h=3][​IMG] Re: Mh:mbowe: Anawataja kwa majina usalama wa taifa wahalifu[/h]
  Chedema tumewazoea kukurupuka ​
  27th June 2012, 08:59

  [h=3][​IMG] re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...[/h]
  Kama yuko tayari kufa kwa ajili ya taifa kutekwa ni moja ya silaha zinazoweza kutumiwa katika uwanja wa vita ​
  27th June 2012, 08:57

  [h=3][​IMG] re: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...[/h]
  Hakuna kitu hapo uongo uliosukwa ​
  7th May 2012, 15:10

  [h=3][​IMG] Re: Mauaji ya watanzania wenzetu yanafanywa na nani?[/h]
  Kama hivyo ndivyo tuwataje wauaji kwa majina ​
  7th May 2012, 15:09

  [h=3][​IMG] Re: Mauaji ya watanzania wenzetu yanafanywa na nani?[/h]
  siasa ina mbinu nyingi kutangulia kutangaza kwamba CCM ndio wauaji hakuondoi ukweli kwamba hata Chadema wanaweza kuua ili kupata umaarufu ​
  22nd March 2012, 16:02

  [h=3][​IMG] Re: Vita ya Urais ndani ya chadema.[/h]
  Wengi tunamfahamu Kitila na ametufundisha chuo kikuu cha Dar es salaam lakini hiyo haitoshi mimi kumsemea ​
  22nd March 2012, 16:00

  [h=3][​IMG] Re: Vita ya Urais ndani ya chadema[/h]
  Akitoake Kitila atasema ni uongo ndilo jibu jepesi kuliko yote. ​
  22nd March 2012, 15:59

  [h=3][​IMG] Re: Vita ya Urais ndani ya chadema[/h]
  katika mambo ambayo sitegemei kusikia kutoka kwa Kitila ni kukiri hadharani kwamba alizungumza mambo hayo kwani inategemea kama wakati wake wa kuweka wazi umefika au la lakini pia itategemea... ​
  8th March 2012, 11:55

  [h=3][​IMG] Re: Madaktari kuuza damu kwa wagonjwa mahututi ni ubinadamu?[/h]
  MOI walimnyima mgonjwa wangu aliyeumia kwenye ajali kumfunga chuma (supporter) linalotakiwa ku-balance miguu kwenye kitanda hadi nilipotoa 20,000 walianza kwa kusema vyuma vimekwisha kama nataka... ​
  7th March 2012, 12:42

  [h=3][​IMG] Re: Bugando,muhimbili mgomo waanza rasmi,ikulu mkutano mzito unaendelea[/h]
  habari hii ni nzito kwa nini chanzo chake akiakisi uzito ​
  7th March 2012, 12:18

  [h=3][​IMG] re: Bugando, Muhimbili mgomo waanza rasmi, Ikulu mkutano mzito unaendelea[/h]
  TANESCO nao wakituhujumu kwenye umme eti tu kudai haki zao...giza nene

  TRA wagome kukusanya kodi eti wanadai haki zao.

  TBS wagome kuthibitisha ubora wa vyakula eti wanadai haki zao. ​
  7th March 2012, 12:12

  [h=3][​IMG] re: Bugando, Muhimbili mgomo waanza rasmi, Ikulu mkutano mzito unaendelea[/h]
  vyanzo vya kuaminika yoyote anaweza kuandika hata mimi. Hicho sio chanzo makini. ​
  7th March 2012, 12:06

  [h=3][​IMG] re: Bugando, Muhimbili mgomo waanza rasmi, Ikulu mkutano mzito unaendelea[/h]
  Kwenye red unapotosha umma kuwa makini na siasa za chama cha maandamano kuna mkono wao ​
  7th March 2012, 12:02

  [h=3][​IMG] Re: Mgomo wa madaktari - Updates[/h]
  wafuasi wa chama cha maandamano wanafurahi sana kuona nchi inatikisika kwa mgomo huku watu wanakufa. ​
  7th March 2012, 12:01

  [h=3][​IMG] Re: Mgomo wa madaktari - Updates[/h]
  Pinda kasema madakatari wameshika mpini serikali imeshika makali lakini isiwe sababu ya kutokaa meza moja kwa mazungumzo kuangalia wapi hakujawa sawa. ​
  7th March 2012, 11:56
  [h=2][​IMG] Re: Mgomo wa madaktari - Updates[/h]  Madaktari wengi wana tabia mbaya wanatoa huduma mbovu lakini leo wanasema wanahitaji vifaa kwa ajili yetu wagonjwa wakati hata huduma ya mdomo tu wanashindwa kwa wagonjwa. Mgomo ni wa kulilia maslahi... ​
  23rd February 2012, 09:53

  [h=3][​IMG] Re: Elirehema Kaaya na Wiliam Sarakikya kuhamia CHADEMA[/h]
  photoshop.....picha ya kuunga kwa kompyuta angalia kwa makini kwa wataalamu wa picha za photoshop. ​
  15th February 2012, 11:10

  [h=3][​IMG] Re: Mitandao isitumike kumchafua Rais[/h]
  suala hilo ni binafsi lakini likahusishwa na siasa chafu dhidi ya JK. Haipendezi hata kidogo. ​
  15th February 2012, 11:08

  [h=3][​IMG] Re: Mitandao isitumike kumchafua Rais[/h]
  kwa tukio hili tuwe fair mtoto ndiye alaumiwe kwa kumtia aibu baba yake. ​
  15th February 2012, 11:07

  [h=3][​IMG] Re: Mitandao isitumike kumchafua Rais[/h]
  Nani kasema ubongo wa watoto wa Marais uko tofauti na watoto wengine? ​
  15th February 2012, 11:06

  [h=3][​IMG] Re: Mitandao isitumike kumchafua Rais[/h]
  sioni mantiki ya kuhusisha suala hili na Jk.​
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu
  dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu dhaifu=liwalo na liwe
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Duuui! Tangu niingie JF sijawahi kusoma aina hii ya thread. Bila shaka mwandishi yuko likizo so nafasi ya kukusanya chachandu anayo. Yote kwa yote big up mkuu, imekaa njema hata watukanaji sijui watatukanaje? Acha tusubiri tuone!
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  unaomba jibu gani mkuu!!!!!!!!!!!!siumejidadavulia mwenyewe nakuukana ukweli unataka majibu au kejeli,basi subiri waje!!!
   
Loading...