Mess
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 661
- 181
Naibu waziri wa kazi Mheshimiwa Makongoro kaulizwa swali kuwa, kwa kuwa wastaafu wanaishi katika maisha magumu na pengine hufa mapema serikali inaonaje kama itawalipa wastaafu kila mwezi katika rate ambazo zinaendana na maisha ya sasa kulingana na nyazifa zao wakati wa kustaafu.
Jibu La Makongoro: Swali hili halina mantiki na hakuna sababu ya kumlipa mfanyakazi posho nyingine.
Sasa hapa sijui kama kajibu swali au hakuelewa na spika naye hakuweza kumwambia kuwa hakujibu swali sasa hapo kwa kanuni za bunge sijui au ndo imetoka hiyo?