Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu!
---
ROME (AP) — Pope...
Serikali haina mpango wowote na upungufu wa ajira sababu wao ndio waliotengeza hilo tatizo. Hadi yeboyebo unaagiza nje, migodi yote umeuza, yaani kila kitu umeuza, bandari etc.
Vyuo vipo kukusanya hela kupitia control namba,FUNGUKA!!
Twende polepole,unapozungumzia vifo vya wazazi na watoto unazungumzia sayansi,na sio siasa,enhe Kwa data zako:-
1. Vifo vimeongezeka?,kwa asilimia ipi au namba ipi?
2. Kuwa zamani(ipi?),vifo havikuepo?,kama vimeongezeka,jibu swali namba Moja
3. Huko nyuma kupi?,unapozungumzia hakukua na...
Umeongea kitu sensitive sana ingawa wapumbavu bendera fuata upepo watakupinga/'mob psychology"
Zamani kwenye makabila yote kabla ya Binti hajaolewa alikua anafundwa,jinsi ya kufanya mapenzi,"The arts of sexual intercourse",psychology ya mwanaume na jinsi ya kuishi naye etc
Sasa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.