Search results

  1. T

    Wastahafu ambao hawajasafirishwa kwenda makwao serikali itawasafirisha lini?

    Lipo jambo la kushangaza ambalo jamii, vyombo vya kisheria na asasi za kiraia zimelifumbia macho. Wapo wazee waliostahafu mpaka hata miaka mitatu iliyopita lakini mpaka leo hawajasafirishwa,kwa maana kwamba hawajalipwa nauli ya mizigo na likizo ya mwisho. Upo mpango wa kuipeleka serikali...
  2. T

    Mtanzania wakawaida hana pakwenda kupata haki yake

    Ukiangalia haraka haraka utaamini kwamba vyombo vya kutoa haki vipo kwa ajili ya Watanzania wote.Hata hivyo uchunguzi wa karibu proves otherwise.Ulipuaji wa mabomu unaoendelea Arusha ungedhani somebody would be aprehended and procecuted.Lakini ni hadithi ile ile ya watu wasiohusika kabisa...
  3. T

    Serikali imeshindwa kulipa wastahafu wake.

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida serikali ya CCM imeshindwa kulipa wastahafu wake.Taarifa za ndani kutoka Wizara ya kilimo kitengo cha Utafiti zinaeleza kwamba wastahafu waliostahafu tangu mwaka wa jana hawajalipwa nauli zao za mizigo na likizo ya mwisho.Hii inashangaza kwa vile hela zenyewe sio...
  4. T

    Serikali yashindwa kuwalipa wastaafu wake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida serikali imeshindwa kuwalipa wastahafu wake nauli za mizigo na likizo ya mwisho. Inashangaza zaidi kwa vile hela yenyewe sio nyingi kiasi hicho.Wizara ambayo tuna hakika inahusika ni ya Kilimo kitengo cha Utafiti. Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu hakuna...
  5. T

    CCM bado ina ndoto ya kuwaletea Watanzania maendeleo?

    Tulipata uhuru mwaka 1961.Sina hakika kama ulikuwa uhuru wa bendera au uhuru wa kweli kwa sababu kwa jinsi mambo yalivyo kwenda :Julius kuruhusiwa kuendesha harakati za kutafuta uhuru almost freely, kuruhusiwa kiulaini kwenda UN kuhutubia manyan'gau yale,na hatimaye eti akaya-convince yaipe...
  6. T

    Tunaomba serikali itoe tamko kuhusu mishahara ya wafanyakazi

    Leo ni tarehe 5 na hakuna kinachoeleweka kuhusu mishahara ya wafanya kazi.Serikali kupitia raisi Kikwete ilitangaza kwamba ifikapo tarehe 26 ya kila mwezi wafanyakazi watakuwa wameshapata mishahara yao.Inashangaza kwamba mpaka leo wafanyakazi hawaja pata mishahara yao na serikali imekaa kimya...
  7. T

    Increased incidences of diseases in humans including Diabetes a man made problem.Research reveals.

    The Blood Typing Farce At least 95% of the population, who have blood type ‘O’ and ‘A’ which are the thinnest blood and lowest blood volume, and blood type ‘B’, have copper deficiency, due to slow poisoning from blood thinners, alkalizing chemicals, copper binders, and copper antagonists...
  8. T

    Increased incidences of diseases in humans including Diabetes a man made problem.Research reveals.

    At least 95% of the population, who have blood type ‘O’ and ‘A’ which are the thinnest blood and lowest blood volume, and blood type ‘B’, have copper deficiency, due to slow poisoning from blood thinners, alkalizing chemicals, copper binders, and copper antagonists that they have saturated the...
  9. T

    The truth about Osama Bin Laden

    What ever the truth is about the man killed in Pakistan and dumped 'Islamically', but in secret, into the Arabian Sea, whether that man was Osama Bin Laden or not, in his real life, Osama Bin Laden was a CIA agent from start to finish, along with his cohorts of the so-called 'Al-Qaeda'...
  10. T

    What is happening with JF.

    I have been a member of Jf since 2008.I remember when very constructive and educative threads were written.It was indeed very enjoyable time.When I switched on my computer, and occasionally decided to go to Jf, it was time to learn and exchange ideas.That is not the case any longer.Very rarely...
  11. T

    Endless world problems:Reason revealed,"most world leaders worship satan."Go through thi stuffs.

    Bohemian Grove Exposed! The Dark Secrets of Bohemian Grove (Free Video — 1 Hour, 50 Minutes) You are listening to an actually MP3 recording of the Bohemian Grove's 'Cremation of Care' ceremony from July of 2000! | Download (769KB) Woe unto America! Many of our nation's...
  12. T

    Kijana mwenye degree ya kwanza ya marketing kutoka UDOM anatafuta kazi

    Amezaliwa mwaka 1988,na ndio tu kamaliza UDOM.He is a very intelligent and well focused young man.Yeyote anayemuhitaji awasiliane na mimi through JF.
  13. T

    The Haiti earthquake was the work of A HAARP weapon

    Most of us believe even today that we have anything called a natural disaster.May be it's time we changed our minds.Science is so advanced today that what we used to believe were natural disasters are now man made.Believe it or not cylones,tsunamis,volcanoes,droughts and earthquakes are made and...
  14. T

    Hivi serikali inataka wafanyakazi wagome?

    Haki za wafanyakazi siku hizi hazipo kabisa.Nakumbuka nilipoanza kazi nilisaini mkatataba na serikali ambao hata hivyo ulivunjwa bila mimi mwenyewe kushirikishwa.Leo mfanyakazi hana haki yeyote.Nakumbuka niliahidiwa kupata matibabu bure Grade I,badala yake imeingizwa bima ya afya bila...
  15. T

    Uovu ukishinda dhidi ya wema,ole wetu!

    Nimesikiliza na kupokea kwa mshangao hukumu dhidi ya Zombe.Inashangaza na kutia kinyaa.Sikuwa na wasiwasi wowote kwamba Zombe angefungwa kwa vile ushahidi hata kama ni wa kimazingira, ulikuwa unaonyesha wazi kabisa kwamba Zombe kwa vyovyote vile alihusika kwa njia moja au nyingine na mauaji ya...
  16. T

    Kweli watanzania sasa tuko njia panda,kondomu mpaka makanisani na misikitini?

    Sikuamini kwamba nilichokuwa nakiona na kukisikia ni kweli.Sheikh kukubali matumizi ya kondomu kwa waumini wake na Maaskofu nao kuzikaribisha makanisani huku wakijua wazi kwamba ni kinyume kabisa cha maagizo ya Mungu.Hii ni kali ya millenia.Kwa mtu mwenye akili timamu,akili ambazo hazija...
  17. T

    Wasomi wetu wengi ni mambumbumbu!

    Tanzania tumebarikiwa kuwa na wasomi si haba,lakini kwa ujumla hali yao ina sikitisha.Si wasomi hasa,ila ni watu ambao kwa kiingereza naweza kuwaita opportunists.Watu walio jiingiza kwenye usomi kwa nia ya kutafuta maisha,au kwa lugha ya mitaani kuganga njaa.Ni wasomi uchwara wasio kuwa na nia...
  18. T

    Most convincing Luciferian Illuminati conspiracy in Swine flu.

    I know for sure that there is a connection between the Illuminati and swine flu because of the extensive research that I have done about this obvious hoax.Let me say that even common sense would convince an inteligent mind that swine flu is indeed man made. While carrying out my research,I...
  19. T

    Filemon,it is too little too late!

    Jana jioni nilimuona Bwana Luhanjo akijaribu kumsafisha Rais Kikwete.There was compete lack of seriousness and committment.Yes,hawa ndio aina ya viongozi tulionao.Nilimsikiliza kwa makini sana,lakini kwa bahati mbaya sikuona substance hata kidogo. Bwana Luhanjo alinichefua zaidi pale...
  20. T

    Mishahara ya wafanyakazi wa serikali iko wapi mwezi huu?

    Leo ni tarehe 30 July 2009,na hakuna dalili yeyote kwamba wafanyakazi wa serikali watapata mishahara yao.Mitaani tunasikia wafanyakazi wa serikali kuu wakiilalamikia serikali yao katika kiwango cha kutisha sana. Tunacho hoji ni kwamba inakuwaje maagiza ya Rais yanakiukwa bila hata wafanyakazi...
Back
Top Bottom