Kijana mwenye degree ya kwanza ya marketing kutoka UDOM anatafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana mwenye degree ya kwanza ya marketing kutoka UDOM anatafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tikerra, Aug 20, 2011.

 1. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Amezaliwa mwaka 1988,na ndio tu kamaliza UDOM.He is a very intelligent and well focused young man.Yeyote anayemuhitaji awasiliane na mimi through JF.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Unaishi wapi Mkuu, kuna mpango wa kuanzisha kampuni ya distribution hapa Dar itakayo undwa na wahitimu wa Marketing hasa wa CBE, hii ni effort ya kuwafanya vijana wajitengenezee ajira zao wenyewe. Tumewapa miuondo mbinu yote lakini wao watanunua hisa na kusimamia uendeshaji wake.
   
 3. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  why should i employ you?
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mwambie kazi amepata..................
   
 5. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimesema yeyote anayemuhitaji.Kama humuhitaji ungekaa kimya!
   
 6. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kamaliza chuo gan vile,udom au...ishamkost! Atasota sana kitaa,awaulize wenzie wa mwaka jana
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Nenda kalime 2.
   
 8. A

  ABEL DON Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyo kijana ana digrii ya daraja gani?
   
 9. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Please Sell him by disclosing his strengths and not so simple lyk that, Simply because hiz agraduate you are supposed to tell us hiz GPA and Gender which is the best strength him/her ryt nw.
   
 10. M

  Memory Senior Member

  #10
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  "He is a very intelligent and well focused young man"
  Naona UDOM mnachakachua degree haswaa......kwa kipimo kipi unajiita "very intelligent" utakaa sana mtaani kama haya ndiyo mawazo yako!
   
 11. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Hapana ataajiliwa tu, kuna watu hawana hata digrii wapo maofisini bana! sembuse huyo mwenye degree.
   
 12. Kazakuku

  Kazakuku JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Niambie jinsia yako. ?
   
 13. S

  Sanga n. Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amesha sema "he is intelligent"
  Kuna haja ya kuuliza gender tena?
  Does 'he' STANDS FOR "a girl and boy"?
   
 14. S

  Spellan JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha unafiki!
   
 15. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  me mnafki eeh,endelea kukaa hapo sasa...ukishaamini ninachokwambia utatafuta alternative fasta kijana
   
 16. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  sijawai kufanya kazi na graduate wa UDOM, hivi wako vipi maana uhusiano wao na magamba unawaharibia sana, hivi wapo vipi?
   
 17. S

  Sngs Senior Member

  #17
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  We mkata kiu kwaniu kuna kuna uhusiano gani kati ya magamba na professional ya mtu??
   
 18. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  kalime!
   
 19. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  most of proffessional firms, doing their things proffessional., they will never recruits politicians coz wanajua utaleta siasa kwenye responsibilities
  like the way our leaders did, 50 years after indepedence nchi haina umeme hiyo ni sababu ya kuleta siasa kwenye kazi, sina uhakika but kama
  ni kweli but UDOM student wanaongelewa sana vibaya maofisin, wanaonekana ndo nguzo ya magamba na waajiri wanahisi ufanisi wao ni kama magamba
   
 20. R

  RAIM Member

  #20
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda kajiajiri, unasubiri uajiriwe itakula kwako
   
Loading...