Serikali imeshindwa kulipa wastahafu wake.

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Katika hali isiyokuwa ya kawaida serikali ya CCM imeshindwa kulipa wastahafu wake.Taarifa za ndani kutoka Wizara ya kilimo kitengo cha Utafiti zinaeleza kwamba wastahafu waliostahafu tangu mwaka wa jana hawajalipwa nauli zao za mizigo na likizo ya mwisho.Hii inashangaza kwa vile hela zenyewe sio nyingi sana na inagusa kundi nyeti ambalo halipashwi kucheleweshewa malipo.Ni aibu kwa serikali kushindwa kuwalipa wastahafu wake.Hii inaonyesha kutokuwajibika kwa hali ya juu.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba haifahamiki lini watalipwa hata pamoja na kupitishwa bajeti ya 2014/2015.
 
Back
Top Bottom