Mtanzania wakawaida hana pakwenda kupata haki yake

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Ukiangalia haraka haraka utaamini kwamba vyombo vya kutoa haki vipo kwa ajili ya Watanzania wote.Hata hivyo uchunguzi wa karibu proves otherwise.Ulipuaji wa mabomu unaoendelea Arusha ungedhani somebody would be aprehended and procecuted.Lakini ni hadithi ile ile ya watu wasiohusika kabisa kukamatwa na baadae kuachiwa.Ni kama mchezo wa kuigiza hivi.Wahanga wa matukio haya hata hivyo wakiwa wameumizwa kabisa,na hata kutokuwa na mategemeo yeyote ya maisha tena.Inasikitisha.The end justifies the means.Wapo waliofukuzwa kwenye makazi yao,walionyang'anywa wake zao,waliouliwa mifugo yao,waliofukuzwa kwa hila kwenye makazi yao,waliochukuliwa makazi yao wakalipwa kiduchu,waliostahafu bila kulipwa stahili zao nk.nk.List ni ndefu.Hata wapo walioathirika na kemikali za migodini wasio na watetezi kabisa.Waende wapi, maana waliopo kwenye vyombo vya kutoa haki ndio hao hao walio shika dola.Najihurumia sana na Watanzania wenzangu.We are fixed.Mungu peke yake ndie wa kutusaidia.
 
Duh Mkuu.....God will have a sense of humor towards us one day!
Na ni very true kabisa aulichokisema!
 
Back
Top Bottom