Filemon,it is too little too late!

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Jana jioni nilimuona Bwana Luhanjo akijaribu kumsafisha Rais Kikwete.There was compete lack of seriousness and committment.Yes,hawa ndio aina ya viongozi tulionao.Nilimsikiliza kwa makini sana,lakini kwa bahati mbaya sikuona substance hata kidogo.

Bwana Luhanjo alinichefua zaidi pale aliposema watumishi wa serikali waliohusika na kuidhinisha mkataba mbovu wa Richmond wana makosa kidogo tu ya uzembe.Kwanza najiuliza siku zote hizo walikuwa wapi?Na kwa nini leo.Hivi wao hawaoni kwamba it is too little too late na kwamba Kikwete hasafishiki tena?

Lakini ndugu yangu Luhanjo, kweli hawa jamaa wana makosa kidogo tu.Wewe mazingira ya rushwa yaliyo wazi kabisa huyaoni?Ni yapi sasa makosa makubwa kwako?Wanachi wa Tanzania wanaelea kwenye dimbwi la umaskini wa kutupwa kwa sababu ya mafisadi hawa na wengine,na wewe unasema watumishi walio husika wana makosa kidogo tu!Ah,kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.Naona kweli sasa tumebadili sheria,usiibe,iba;usiseme uongo, sema;usiue,ua n.k;kweli kazi ipo.Tukifika bahati.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Tikerra,
What did you expect for a man of Luhanjo-Calibre to say?
Hujui huyu ndo anabariki ufisadi wote wa pale Ikulu?
Mi ningemshangaa angesema tofauti kidogo na vile alivyojidhalilisha, but anyway, as you said before, it is a bit too late for them to change the citizens minds.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom