Search results

  1. souljah meditater

    Marais wa Afrika walioweka historia ya kukaa madarakani kwa muda mrefu

    Nchi za Afrika zinaongoza kwa kuwa na marais wengi wanaopenda kukaa madarakani muda mrefu. Kwa upande wangu nimeona hawa wafuatao ndio top 10 yangu wapo madarakani muda mrefu na wengine mpaka leo hii wanakomalia Urais. Ukiwapitia hawa unaweza kuwaongeza wengine watata waliopata na matako kulia...
  2. souljah meditater

    Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa HDD Password kwenye Computer

    Habari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo limebaki palepale. Naomba mwenye utaalamu au ushauri wa kuitoa hii HDD Password kwenye compuer anisaidie.
  3. souljah meditater

    Faru John sawa na wamasai 80,000?

    Wakuu mwenye taarifa kamili kuhusu hicho kichwa cha habari kama kinavyoonekana kwenye hiyo attached naomba atudadavulie zaidi huyo mwandishi aliandika nini kwenye hiyo habari
  4. souljah meditater

    8th call International Fund for Cultural diversity (IFCD)

    On 3 March 2017 the International Fund for Cultural Diversity (IFCD) launched its eighth call for funding requests. Since 2010, the IFCD is providing more than 6 million USD in funding for 90 projects in 51 developing countries, covering a wide range of areas. Public authorities/institutions and...
  5. souljah meditater

    Siku 20 za Makonda Marekani, nani alizifadhili?

    Kwa serikali hii ya kubana matumizi na kwa mshahara wa Mkuu wa mkoa wa Dar, hivi ni kweli ameweza kusafiri kwenda Marekani tena kwa kupanda first Class akiwa na mkewe? Au kuna mambo behind the scene yanaendelea na abiria wa Tz hatujui? Vita juu ya sembe ni yetu sote ila tunaomba haki ichukue...
  6. souljah meditater

    Mwana wa Osama bin Laden asakwa na Marekani

    Mwana wa Osama bin Laden aorodheshwa na Marekani miongoni mwa magaidi wanaosakwa na Marekani Marekani imesema kuwa imemuorodhesha mwana wa mwisho wa Osama Bin Laden, Hamza, katika orodha ya magaidi wanaosakwa na taifa hilo. Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa Hamza Bin Laden...
  7. souljah meditater

    Je, ni kweli wanaogopa kumshauri?

    Ni hatari sana watu wako wa karibu kuogopa kukushauri coz kuna muda utahitaji ushauri wao na hakuna atakayekuwa tayari kukushauri. Mfalme Sulemani alikwishaandika katika Mithali kwamba "Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika."
  8. souljah meditater

    Kwa sasa hatuna budi kuisoma namba kwani fedha zilizokusanywa na serikali zinakwenda moja kwa moja

    SERIKALI imesema mzunguko wa fedha sio mzuri kutokana na fedha nyingi kwenda katika miradi ya kuimarisha huduma kwa wananchi. Hayo ameyasema Msajili wa Hazina, Lawlance Mafuru wakati akizungumza na waandishi habari juu ya taarifa zinazosambaa zinazodai kuwa benki zimeyumba. Amesema serikali...
  9. souljah meditater

    Donald Trump Akataa Kulipwa Mshahara wa Urais

    Rais mteule wa Marekani, bilionea Donald Trump amesema hatakubali kupokea mshahara wa urais pindi atakapokuwa madarakani. Trump ameweka msimamo huo jana katika mahojiano maalum na mtangazaji maarufu, Lesley Stahl katika kipindi cha 60 Minutes, aliyetaka kufahamu kuhusu uamuzi wake juu ya...
  10. souljah meditater

    TB Joshua aondoa utabiri wa ushindi wa Clinton Facebook

    Bwana Joshua aliwaambia wafuasi wake siku ya Ijumaa kwamba ameona mwanamke akishinda. Baada ya Donald Trump kushinda kwa wingi wa kura katika uchaguzi wa Jumanne ,wageni katika ukurasa wa facebook wa Muhubiri huyo walishangaa walipoona utabiri huo umeondolewa. Muhubiri huyo tajiri anajulikana...
  11. souljah meditater

    Miswada bungeni kuwasilishwa kwa hati ya dharura

    HATIMAYE Muswada wa Sheria ya kupata Habari na Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2015, inatarajiwa kuwasilishwa bungeni katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoanza leo. Miswada hiyo inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na inakusudiwa kupitishwa na Bunge katika hatua zake zote...
  12. souljah meditater

    DJ Khaleed aonesha live Snapchat mkewe akijifungua

    DJ Khaled na mchumba wake, Nicole Tuck wamebahatika kupata mtoto wa kiume Jumapili (Oct. 23) na tukio zima limeonekana kwenye mtandao wa Snapchat. Khaled ametimiza ahadi yake aliyoitoa June mwaka huu kuwa ataonesha kwenye Snapchat wakati mkewe anajifungua iwapo madaktari watamruhusu...
  13. souljah meditater

    Kwanini Bahari ina Chumvi?

    IKIWA chumvi yote ya baharini ingetandazwa juu ya ardhi, ingefanyiza tabaka lenye unene wa meta zaidi ya 150, yaani, jengo lenye ghorofa 45 hivi! Chumvi hiyo yote hutoka wapi, hasa tunapofikiria kwamba vijito na mito mingi sana humwaga maji yake yasiyo na chumvi baharini? Wanasayansi...
  14. souljah meditater

    Yaliyojiri: Kupatwa kipete kwa jua(annular solar eclipse) Septemba Mosi - Rujewa, Tanzania

    TUKIO kubwa la angani la kipekee la kupatwa kwa jua usawa wa Tanzania litatokea Septemba 1, 2016, kuanzia saa 4:17 asubuhi hadi Saa 7:56 adhuhuri. Washabiki na wanataaluma wa anga kutoka duniani kote pamoja na wanasansi, wanafunzi pamoja na jamii ya watanzania wataelekea Rujewa, kusini mwa...
  15. souljah meditater

    Tanzania kupeleka washiriki 7 tu kwenye mashindano ya Olympics 2016

    Kwa mara nyingine tena Tanzania kwenda kushiriki kwenye mashindano makubwa ya michezo mbalimbali duniani ambayo mwaka huu 2016 Summer Olympics itafanyika huko Rio de Janeiro nchini Brazil, kuanzia tar 5 mpaka 21 August 2016. Tanzania itawapeleka washiriki saba tu ambao watashindana katika...
  16. souljah meditater

    Afrika inapaswa kuombwa msamaha na kulipwa fidia kwa madhara ya ukoloni

    Ikumbukwe kwamba waafrika wengi walichukuliwa kinguvu na kimabavu kwenda nchi za ulaya na uarabuni kwa lengo la kutumikishwa kufanya kazi ili kuongeza uzalishaji wa mataifa hayo husika. Tambua THEY DID NOT TAKE SLAVES but they took Doctors, architects, enterprenuers, astronomers, fathers...
  17. souljah meditater

    Prince Abubakari II (The Marine) of Mali

    Traveled and trade in America 1311 - 181 years before Columbus. He never claim to discover America. [Because] OVERTAKING & COLONIES IS NOT AFRICAN BUSINESS.
  18. souljah meditater

    pendo moja wana jf

    each one must teach one
Back
Top Bottom