souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,097
Kwa serikali hii ya kubana matumizi na kwa mshahara wa Mkuu wa mkoa wa Dar, hivi ni kweli ameweza kusafiri kwenda Marekani tena kwa kupanda first Class akiwa na mkewe? Au kuna mambo behind the scene yanaendelea na abiria wa Tz hatujui?
Vita juu ya sembe ni yetu sote ila tunaomba haki ichukue nafasi yake kuliko kutaka attention ya kuonekana anawajibika sana kumbe ana washikaji zake wa karibu ni mapapa kwenye biashara hiyo na hawataji hadharani kama alivyofanya kwa wasanii ambao ni sawa na vidagaa.
Kama ameamua kujitoa mhanga basi ajitoe kweli sio habari za kutuonyesha bongo movie alafu picha linaisha bila kueleweka.