souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,097
Wakuu mwenye taarifa kamili kuhusu hicho kichwa cha habari kama kinavyoonekana kwenye hiyo attached naomba atudadavulie zaidi huyo mwandishi aliandika nini kwenye hiyo habari
View attachment 513600
Wakuu mwenye taarifa kamili kuhusu hicho kichwa cha habari kama kinavyoonekana kwenye hiyo attached naomba atudadavulie zaidi huyo mwandishi aliandika nini kwenye hiyo habari
kweli hatari mkuu may be moja kati ya hivi vigezo ulivyovitaji vimehusika... akili, uzito au thamani?haa haaa nacheka kama mazuri!!! sijui wametumia kigezo gani.....akili, uzito au thamani?
Ndo hivyo kaka bajeti ya huyo faru kwa mwezi inalisha vijiji kadhaa tena milo mitatuHuu ni udhalilishaji...binafamu na mnyma wapi na wapi jaman
Ndo hivyo kaka bajeti ya huyo faru kwa mwezi inalisha vijiji kadhaa tena milo mitatu
Hahahahahaaaa mi sijasomea hiyo tathimini ngoja wataalam wajeJe FARU FAUSTA ni sawa na wamasai wangapi?
Hahahahahaaaa mi sijasomea hiyo tathimini ngoja wataalam waje
Je hao faru wanaingiza pesa kiasi gani kutokana na utalii?Serikali ina hela bn, yan hao mafaru wawili tu wanaweza kulisha zaidi ya mikoa 3 ya Tz je tukiangalia mamilioni mengine yanayo fujishwa hovyo? Viongozi wa Bongo Mungu anawaona!