souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,093
Habari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo limebaki palepale. Naomba mwenye utaalamu au ushauri wa kuitoa hii HDD Password kwenye compuer anisaidie.