TB Joshua aondoa utabiri wa ushindi wa Clinton Facebook

souljah meditater

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
2,146
2,094
Bwana Joshua aliwaambia wafuasi wake siku ya Ijumaa kwamba ameona mwanamke akishinda. Baada ya Donald Trump kushinda kwa wingi wa kura katika uchaguzi wa Jumanne ,wageni katika ukurasa wa facebook wa Muhubiri huyo walishangaa walipoona utabiri huo umeondolewa. Muhubiri huyo tajiri anajulikana kama 'mtume' na wafuasi wake. Ni mmojawapo wa wahubiri maarufu nchini Nigeria na anajulikana sana barani Afrika huku wanasiasa wengi wakiwa wafuasi wake.

_92373166_tbjoshua4.png
 
Labda jamani alimaanisha zile popular votes? Kwa kweli huko Clinton alishinda kwa ushindi mwembamba. Lakini kutangazwa urais lazima ushinde electoral college. Ila mwaka huu kama alimaanisha kwenda white house amejiaibisha sana bora angekaa kimya!! Hapo ndo waone hata hao wanaomwamini wanaibiwa mchana kweupe!!
 
mkuu akili ku mkichwa jamaa anajua kucheza na saikolojia za waumini
 
who knows, labda kama kweli alishinda Hillary Clinton, who knows?, kama kila nchi kura za uchaguzi huibiwa na ikawa ziliibwa kwa Hillary, au zikaongezwa kwa Trump who knows, kama kura ziliibiwa does it make false prophecy?.

ni mawazo yangu tu, its not the position.
 
Ukiwa bavicha unawaza wizi wa kura tu.
 
Sasa hivi hadi video ipo Youtube kama ushahidi, sijui wafuasi wa jamaa watakuja na gia gani. Event za nyuma zote alizochemka walikataa kua hajasema kwa kua video ilikua ngumu kuipata. Binadamu wanajilazimisha kuamini mambo ili mradi tu wapate faraja ya moyoni kua hawapo wrong. Mtu pamoja na kuona huu upuuzi bado anatafuta excuse.
 
who knows, labda kama kweli alishinda Hillary Clinton, who knows?, kama kila nchi kura za uchaguzi huibiwa na ikawa ziliibwa kwa Hillary, au zikaongezwa kwa Trump who knows, kama kura ziliibiwa does it make false prophecy?.

ni mawazo yangu tu, its not the position.
Maono ya Mungu lazima yatimie mkuu unless otherwise alitumia hisia zake
 
Back
Top Bottom