Recent content by ziwapohazipo

  1. Z

    Mkutano wa Marais wastaafu barani Afrika - South Afrika

    Poleni nduguzanguni mpayukaji unapayuka kama ID ilivyo na kigogo maskini hujijui hata kigogo cha mti gani wewe umo Zanzibar ni nchi kamili
  2. Z

    JK hujawatendea haki wabunge wa CCM

    Sio kila mtu anaweza kuwa mbuge na sio kila mbuge anaweza kuwa waziri, wizzo rais anatambua nn atendalo anawajua kila mbunge na kipaji chake tabia na uelewa kuliko unavyowajua wewe sasa ndugu yangu usimfundishe kazi kwani amekosa washauri mpaka uwe wewe atmeans unataka kusema rais na makamo wake...
  3. Z

    Kwa matokeo haya ya f6, ni wazi muungano hatarini

    Jamani kuna tatizo tusijaribu kurushiana maneno wakati sote tumo kwenye nyumba moja wazanzibar na watanzania kwa ujumla tukaeni chini tutizame nn kimewasibu hawa vijana na mfumo mzima na tuwasaidie kwa majibu na muongozo na sio kukejeliana hakuna alie bora kwa imani yangu napata picha tatizo ni...
  4. Z

    Hakuna mwanamke ninaye mchukia kama mama yangu

    Hakuna kama mama na ukitaka upate ufalme wa duniani jaribu kuwa karibu na wazazi wawili hakika ni mafanikiwa tosha
  5. Z

    Watanzania haya ni majuto kwa kumchangua jk kikwete na ccm- dr slaa

    Afadhali Dr Slaa na wafuasi wake wanakiri kuwa Rais kikwete amechaguliwa na wananchi na kufuta ile kauli yake kuwa ameibiwa kura zake hongera Dr Slaa kwa kuwaelimisha watazania ukweli plz usijegeuka mbogo tena ukarudia kauli zako za mwanzo
  6. Z

    Madudu na uoza katika Serikali ya Zanzibar

    Kwa hio jamii forum walengwa ni watanganyika baadae semeni wenyewe ni wakristo baadae semeni wenyewe chadema hakika hii dhambi utatumaliza watanzania kwa ujinga wa watu wachache tu
  7. Z

    Waziri mambo ya ndani mbona hatajwi orodha ya kujiuzulu?

    Wapo marais wanashindikizwa na wakafata na sio kikwete huyu ni rais anajua nn anachokifanya ni kweli wizi umizidi maisha magumu uwajibikaji haupo na rais anajua mtu wa mwanzo kupelekewa repot ya CAG ni rais na aliisoma na maamuzi ameshafanya bado kuyaweka hadharani tu kawaida ya rais wetu hama...
  8. Z

    ZSSF Zanzibar hadi ufikie miaka 55

    Mvungi huyo afisa kakudanganya sheria iko hivi kwa mafao ya uzeeni anaestahiki ni mwanachama ambae amefikisha umri wa kuzaliwa wa miaka 55 mpaka 60 mfuko wa zanzibar una mafao 3 tu kwa sasa yanayolipwa fao za uzee, ulemavu na magonjwa, na fao la warithi sasa sijui wewe ulikuwa unadai fao gani...
  9. Z

    "POLE sana RAIS wangu KIKWETE"

    Ndugu nilikuelewa sana lkn usiupotoshwe umma kwa ufahamu wako mdogo rudi kwenye katiba yetu ile ya muungano wapi palipoandikwa kuwa unguja na pemba ni miongoni kwa mikoa ya tanzania iheshimu ile nchi kama unavyojiheshimu wewe iliyokufa ni tanganyika na sio zanzibar na kuhusu umri wangu nafikiria...
  10. Z

    "POLE sana RAIS wangu KIKWETE"

    Mtoa mada ulipoandika thread hii kama ni mvulana nawasiwasi na jinsia yako huenda ukawa boflo au chakula cha watu kwani kule kwetu neno magwero maana yake ni ushuzi wa ****** na kama ni msichina unatumia mfumo dume kustarehesha wenzio, kama hujui waulize wenye kazi zao rais hashurutishwi na mtu...
  11. Z

    Opinion: Ubunge wa Afrika Mashariki, Washindi ni Hawa?!

    Wanatakiwa kuchaguliwa kupitia vyama ni wabunge 9 kutoka tanzania mgawanyo uko hivi wa wanaume CCM bara nafasi 3 na visiwani nafasi 2 na wanawake bara nafasi 2 ambazo zinagombewa na wana ccm 6 na CUF 1 na visiwani moja ambao ni mgombea namba 6,8 na 10 anatakiwa mmoja na vyama vya upizani...
  12. Z

    Majina ya walio na wasioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Kwa CCM ni sawa kila mtu alikuwa na haki ya kugombea hakuzuiliwa mtu kwa kule zanzibar wanaume waliongombea walikuwa 8 wawili wakatolewa na kura zilizopigwa na wabunge wa CCM na kuna kila sababu ya kutolewa la kwanza uzowefu mmoja ndio kwanza amemaliza shule mwaka jana postgraduate na miaka yake...
  13. Z

    Natafuta photocopy machine

    Karibu mpya nnazo bei karibu na bure piga 0715422778 au email sealandbusinesschannels@zanlink.com
  14. Z

    Zanzibar inastahili kuwa na wajumbe wawili tu katika tume ya katiba

    Naona hali inakuwa tete ni vigumu vijana kuelewa wazanzibar wameshasema wazi wanataka kura ya maoni kuhusu muungano ili wapige kura kama wanataka muungano au hawataki na wengi wa hao wanaotaka kura ya maoni ni vijana na hili limo ndani ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania ya sasa kwa...
  15. Z

    Zanzibar inastahili kuwa na wajumbe wawili tu katika tume ya katiba

    The eagle usiumize watu vichwa wewe ukiwa ndio msimamo wako hata ashuke nabii issa leo a.s huwezi kuamini kwani huwa ndio msimamo wako lkn msimamo hubadilika kwani ndugu zangu baadhi ya watanganyika wezangu tatizo nn kwenye hii ratio watu hushidana kwa hoja na sio idadi ya watu kama idadi ya...
Back
Top Bottom