Kwa matokeo haya ya f6, ni wazi muungano hatarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa matokeo haya ya f6, ni wazi muungano hatarini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by thatha, May 1, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Licha ya Zanzibar kujikwamua kilemu. Lkn inaonekana kuna kikwazo kikubwa huko mbele

  Matokeo ya kidato 4 na kidato cha 6 ni wazi ni moja ya kikwazo kikubwa cha elimu Zanzibar

  Kwanini Baraza la mitihani la Zanzibar likitunga mitihani, asilimia 80 ya wanafunzi hufanya vizuri?
  Kwanini Wazanzibar wakiwa nje ya Muungano, matokeo na maendeleo ya Elimu kwa mtu mmoja hupanda?
  kwanini wanafunzi wa NACTE hufanya vizuri?

  matokeo ya mwaka huu ni wazi kwa Znz yanaweza kuleta majdala mkubwa
  1)Shule ya Lumumba ilikuwa ni moja ya Moyo wa Elimu Zanzibar. NECTA Wamepeleka maafa. wajanja wanasema. ukitaka kumpiga adui mpige kwenye moyo.
  2)Shule ya Benbela yeny vipaji maalum nako NECTA wamepiga kofi kubwa
  3)Shule ya Biashara ambayo ni moja ya nguzo ya Elimu Zanzibar NECTA inayo imeiamliza kisaokolojia

  F4 zanzibar walipigwa W eti wamekopia
  F6 baada ya malalamiko ya F4, wameona wapeleke F badala ya Kuwafutia
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo unashauri Zanzibar ijitungie mitihani yao ili wanafunzi wafanye vizuri?
   
 3. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi nimekuwa karibu na wanafunzi wa hizi shule zote ulizozitaja hapo, nakuambia mambo sio mazuri. Huwezi kuzilinganisha shule za bara nzuri na shule za zanzibar hata kidogo. Shule za Bara kwa zinafanya vizuri zaidi. Sasa kwa mfano shule kama Loyola ambayo nimeshaifundisha na hizo ulizozitaja hapo, ni kama tembo na sisimizi aisee. Lakini Loyola kwa sasa bado haipo kwenye shule zinazofanya vizuri,
   
 4. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Waambie wale ufuta kwa wingi unasaidia ku-activate ubongo!!

  Sisi hapa Mara na kanda ya ziwa tunakula minuso inayoweka vichwa na akili zetu active hata mtu akifa anaenda mbinguni/kuzimu na akili za kutosha!!

  Vilevile wakumbushe umuhimu wa elimu kwani mafunzo ya dini zetu yasipite umuhimu wa elimu, maandiko yanasema 'mkamate sana elimu usimwache aende zake!!

  Vyakula kama urojo si vizuri kwa maendeleo ya mtoto darasani!!
   
 5. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  pumba hizo
   
 6. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasipokuelewa leo, watakuelewa mbeleni mkuu.
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  simple wawe na ka necta kao wote wapate A.
   
 8. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo na wewe ni muathirika wa elimu ya Muungano? Maana naona huwezi hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili.

  Hivi kweli na wewe pia ulipofeli shule tuseme umeonewa kweli?
   
 9. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  huyo ni malaria sugu ameanza shughuli yake...watu kama hao ndiyo waliohusika na kuwazuia wale vijana kule ndanda sec wasifanye mitihani...!
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  ..msiingize siasa za muungano ktk masuala ya elimu.

  ..kabla ya kulalamikia usahihishaji wa mitihani ni vizuri mkachunguza mazingira yaliyoko ktk shule zenu vs zile shule zinazofanya vizuri.

  ..je mmeridhika kwamba Ben Bella ina mazingira sawa au mazuri na shule kama Feza Boys au Feza Girls??
   
 11. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nimecheka! mweh! Kaazi kwelikweli. Haki sawa! Tujitawale! kelele nyiiingi, pumba tupu vichwani. Washauriwe waanzishe seminari kwa wingi zenye hadhi ya St. Francis tuone.
   
 12. k

  kicha JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  Ikiwa viongozi ndo wamiliki wa shule, halafu hao ndo wanaolalamikiwa kupiga madili binafsi, atashindwa kweli kuupata mtihani?

  Tupeni takwimu kwa ujumla wenu nyie wasomi wa bara ukoje ukilinganisha na sie wala urojo,
  Hii elimu mnayojisifia iko juu kwenu inaendana na rasilimali na lindi la umaskini? usijiangalie wewe tu mtoto wa fisadi na kayumba nae pia ni mtz,
  Ikiwa mtu anafikia kua mbunge na kugombea uongozi wa EA kujieleza anashindwa ndo elimu mayoizungimzia? au ile ya matusi kule kwenye chaguzi.
  Kama una chuki zako binfsi ni bora useme tukuelewe kuliko kutafuta kichaka mkajiona nyie ndo kila kitu bila ya kufanya tafiti,
  Acheni kejeli izo fanyeni tafiti sio kukurupuka tu.
   
 13. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Umeeleweka ila na nyie mmezidi kulalamika aisee
   
 14. maphie

  maphie Senior Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hawa jamaa wa zenji hakuna wasilolihusisha na muungano pindi wakifanya vibaya! Lawama kwao ndio mafanikio
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani mkuu unaposema necta imepiga kofi oh amara necta imefanya je? Sidhani kama inaleta maana sababu kama hao wanafunzi wangejibu mitihani ipasavyo sidhani kama necta wangetoa matokeo yao wakiwa wamefeli. Statement zako zinaonyesha kama necta ndo wanawafelisha kumbe kinakuja walichokijibu ni vyema wao kama znz na tanganyika kwa ujumla wakae na kuangalia tatizo ni nini kinachowapelekea kufeli hivyo!
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa unachotaka kukimaanisha!
   
 17. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280
  alieandika hii mada nadhani atakua na yeye kapata dv 4 maana, hakuna uoanishaji wa matukio uliuosahihi hata kidogo..kwani muungano ndio unaokwenda shule?? au muungano ndio unaotunga mtihani..au muungano ndio unaosahihisha mitihani?? tatizo la wenzetu wa zenji wanasoma sana korani na kusahau masomo mengine ya kawaida...huku bara pia kuna waliopata div 4 na ziro pia kwahiyo kufeli kwa mtu kunatokana na muungano..huu ni uzuzu wa ajabu ambao sijawahi kuusikia isipokua kutoka kwa mtoa mada..acha kuhisi hisi mambo na kutoa sababu za kipuuzi..someni na fanyeni kazi..kwa staili hii,....si ajabu mkawa maskini wa kutupwa kama muungano ukivunjika maana itakuwa nchi ya mazuzu tu..wanooongozana wenyewe..
   
 18. King2

  King2 JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wazenji vilaza.
   
 19. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sioni mantiki kwa hoja yako maana hakuna mahali watanganyika na wazanzibari wanagombania ajira labda... kama ingekuwa hivyo kungekuwa na haja ya kuwafelisha, lakini nyinyi ni wamimi na ajira mtapeana nyinyi tu huko kwenu zenjibari, badala yake wengi wenu mmejaa huku tanganyika mkiwa mmeajiliwa na kupewa fursa nzuri ya kufanya biashara....
  kubalini kuwa hamjui bado na jitahidini kusoma.... sioni mantiki ya watanganyika kuwafelisha hata... au mnataka mpaka mitihani isahishwe na chuo cha Oxford ili kuthibitisha hamjui? tanganyika mitihani ni migumu na si lele mama..... kama hujui hujui tu na si kusingizia usahihishaji.... someni bwana..acheni kulalamika!! kama smz inawafaulisha basi mitihani yao ni myepesi.... na elimu si mteremko hivo
   
 20. z

  ziwapohazipo Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani kuna tatizo tusijaribu kurushiana maneno wakati sote tumo kwenye nyumba moja wazanzibar na watanzania kwa ujumla tukaeni chini tutizame nn kimewasibu hawa vijana na mfumo mzima na tuwasaidie kwa majibu na muongozo na sio kukejeliana hakuna alie bora kwa imani yangu napata picha tatizo ni mfumo na wala sio wanafunzi kama lawama vipelekwe kwa serikali na sio wanafunzi mtaala na mode of instruction wanaotumia umepitwa na wakati
   
Loading...