ZSSF Zanzibar hadi ufikie miaka 55 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZSSF Zanzibar hadi ufikie miaka 55

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHIEF MVUNGI, Apr 20, 2012.

 1. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndo serikali ya Zanzibar kwa mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii Huku visiwani kuna utaratibu ambao mi nauita wa dhuluma kwa binadamu na kwa mvuja jasho la hakililah ati ili upate fedha zako hadi ufikie umri wa miaka hamsini au ufe nduguzo wadai na watasumbuliwa kweli kweli kana kwamba pesa hizo mlikua mkiweka shirika na mabwana wale.

  Hii iko tofauti na NSSF kwa bara ambapo ukaacha kazi sehemu ya awali unapatiwa haki zako na unatazma usawa mwingie na juzi nimezungumza na afisaa mmoja wa ZSSF akadai wanafanya maboresho iwe miaka sitini sasa wazanzibar na watanzani kiujumla ebu tusaidiane kwenye mchakato wakatiba mpya kuyaanisha mambo kama haya tunaumia wafanyakazi Zanzibar kisha wabunge wetu wakifika huko hukaa kimya kanakwamba hawayafahamu haya,EBU CHADEMA NJOONI ZANZIBAR
   
 2. z

  ziwapohazipo Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mvungi huyo afisa kakudanganya sheria iko hivi kwa mafao ya uzeeni anaestahiki ni mwanachama ambae amefikisha umri wa kuzaliwa wa miaka 55 mpaka 60 mfuko wa zanzibar una mafao 3 tu kwa sasa yanayolipwa fao za uzee, ulemavu na magonjwa, na fao la warithi sasa sijui wewe ulikuwa unadai fao gani?

  Zanzibar hawana fao la withdrowal yaani uwezo wa kuchukua pesa zako wakati unapokuwa huna kazi chakukifanya ni kitu kimoja kuwaomba wawakilishi wenu kulisemea hili kwani wao ndio watunga sheria usitegemee zssf kubadilisha sheria kwenye hili hio mifuko wanaofanya withdrawal wanataka kama leo waufute huo mfumo mvungi peleka malalamiko yako kwa jussa na wengineo huenda wakakusaidia kwani zssf wanafata sheria yao lkn sheria inaweza kubadilisha kwanza ishakua ya miaka mingi tangu 2005 walipobadilisha kwa mara ya mwisho
   
 3. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ninachotaka iwe kama ya NSSF, kisha hao kina Jusa wala hatuwaoni kwani mi ngepata namba yake ya simu ningemweleza yeye,mbunge huku kwetu ni Sereweji ambaye sijawahi kumuona kuhoji wala kuchangia bungeni na muwakilishi ni Shamsi Nahodha hawaongelei asa matatizo ya kwao Zenji sasa watasaidia nini?
   
 4. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mi mwenyewe inaniuma, nimechangia tangu 2007 mpaka 2010, s aivi nimehamia bara, naona michango yangu wanaifaidi. badilisheni nije nihamishe kilicho changu moja kwa moja mbaki na nchi yenu ya mafuta!
   
 5. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yayo mafuta yatachimbwa vp na watu wasiyokuwa na elimu?
   
Loading...