Muungano unaweza kuwa siyo tatizo, lakini kurundika idadi kubwa ya wazanzibar kwenye tume wakati ni wachache sana inafanya katiba isikubalike kabisa kwa watu wa Tanzania bara. Lzima wajumbe wa Zanzibar wapunguzwe kwenye tume ya katiba wabaki wawili ili katiba itakayotungwa iakisi vya kutosha mahitaji ya watu wa Tanzania bara na siyo kuamuliwa na Zanzibar.
na burundi ina watu wangapi ukilinganisha wadanganyika mbona husemi kwenye jumuiya ya east africa wawe na mjumbe mmoja nyie muwe na 30 kweli machogo hamuelimikiHapo
kuna kinakitu chini ya pazia,haiwezekani na haingii akilini eti nchi
yenye watu ml2 iende sawa na nchi ya watu ml40.Z'BAR WANAMAUJANJA
KULIKO MAZEZETA TULIOWAPA ZAMANA YA KUTUONGOZA HAPA BARA,bora kuwe na
serikari tatu.
na burundi ina watu wangapi ukilinganisha wadanganyika mbona husemi kwenye jumuiya ya east africa wawe na mjumbe mmoja nyie muwe na 30 kweli machogo hamuelimiki
Ujue kwanza wazanzibar wana katiba yao,kuna mambo ambayo ni ya muungano na mengine sio ya muungano,Hayo mambo mambayo sio ya muungano Tanzanyika yapigiwe kura na wajumbe wote?Je kama kura za wajumbe ndio zina nguvu na mawazo yao ,je haki kwa Tanganyika iko wapi?kama pato la taifa haligawiwi 50/50 kwa nini wajumbe iwe 50/50 mnataka kutuuwa watanganyika kwa kutuingizia udini,na huyu kikwete ndio chanzoNdugu mtoa mada ulipaswa ujue kwanza nn madhumuni ya marekebisho ya katiba ya muungano. Baada ya hapo ulipaswa kujua nn muungano wa jamuhuri ya tanzania na baadae ndio uandike thread yako. Elewa kwamba katika marekebisho ya katiba ya muungano na sio tanganyika kama mchangiaji mmoja alivyochangia katika marekebisho hayo kikubwa kunacho angaliwa ni uwakilishi wa maoni kutoka pande zote mbili za muungano yaani zanzibar na tanganyika kwa lugha nyengine tanzania bara na visiwani na wala sio tanzania zanzibar jee ni umuhimu gani ya kuwa na wajumbe sawa hapa tumazungumzia tume iliyohuru itayoshighulikia mchakato mzima wa kupatikana katiba mpya ya muungano na wala sio katiba ya tanganyika wala zanzibar, tume hii majukumu yake yametajwa ndugu mtoa mada tafadhali pitia kwenye rasimu ya tume ya mabadiliko ya muungano. Yatayoamuliwa utakuwa yameamuliwa na ndio utakuwa msimamo wa tume kwa maana fupi huo ndio utaokuwa ndio msimamo wa tanganyika na zanzibar nje ya muungano. Swali liko hapo ingekuwa tume hio wajumbe hawako sawa pande moja wapo ingepiga kelele kuwa idadi ya uwakilishi wake ulikuwa mdogo na ndio ikatokea matokeo hayo sasa wataalamu na serekali zote mbili ile ya visiwani na ile ya muungano vikakubaliana wawe na wajumbe sawa kutoka pande mbili za muungano ili kuondosha migogano ya maamuzi. Ushauri tugekuwa na serikali 3 hili lisingejitokeza na pili kesa lilifanyika pale waasisi wa muungano kuiua tanganyika leo hii wazanzibar wana katiba yao ya watanganyika iko wapi watanganyika wakitaka kubadilisha katiba watabafilisha katiba ya muungano ambayo ndani yake wazanzibar wamo humo. Ndugu watanzania tume sio itayotueleza muskbali ya tanzania yetu bali sisi wenyewe watanzania bara na visiwani ndio tutaokuwa waamuzi wa muungano wetu uweje kwa hio kila tunaloliona kero tuliweke wakati ukifika tulitaje na kwa tume hii iliyoundwa ni tiifu kwani ukiangalia kwa udani wa wakumbe kila mjumbe anamrengo wake kwa hio nawe mwananchi ungana na mrengo wa mjumbe unaemkubali hakika utashida tu
kama ratio haina umuhimu hoja mbovu za ccm bungeni zingekuwa zinakwama,ujue tu wajumbe mawazo yao ndio yanayosikilizwa na kwa hali ilivyo hakuna mjumbe katiuliwa ili asikilize maana hakuna kipya,kila mmoja anahoja ya kuingiza kwenye hiyo katiba sasa usawa kwa tanganyika uko wapi.The eagle usiumize watu vichwa wewe ukiwa ndio msimamo wako hata ashuke nabii issa leo a.s huwezi kuamini kwani huwa ndio msimamo wako lkn msimamo hubadilika kwani ndugu zangu baadhi ya watanganyika wezangu tatizo nn kwenye hii ratio watu hushidana kwa hoja na sio idadi ya watu kama idadi ya watu ndio muhimu leo CCM angeshida arumeru kwani anaidadi ya wanachama wengi na wapiga kira wengi lkn sera ndio wanaarumeru ndio wamnazozitaka sawa na baadhi wa na baadhi ya wajumbe wanaowakilisha znz kama salim ahmed salim, jaji augostino ramadhan, katibu ndugu assaa hawa wote ni watu wa fact sio kufata mkumbo, tujaribu kujenga hoja zenye mashiko na sio kulalama wezetu wamejipanga kwa hoja na sio kulalama lama muda wa porojo umeshapita tuwe wa hoja ya haja na sio idadi ya waislam wengi, wazanzibar wengi baadae tutakuja sema wanaume na wana CCM wengi
Ivi what do we gain toka kwa huu Muungano maana watu wanajitaidi kuubeba kwa nguvu zote to the extent ya kuweka mgao sawa wa 15 to 15 people!
kwani china ina seat ngapi huko UN na shelisheli ngapi?