Recent content by ZaqEddy

  1. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Watu wanapenda maujinga supply
  2. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Motor Road Licence:Wadau,Nifanyeje?

    Sisi wakulima tutakoma pump za umwagiliaji, mashine za kusaga za mafuta
  3. ZaqEddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa SGR ya Kenya

    Huku TZ wengi tunawasifu mmethubutu
  4. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [Cloud=red]mambo mubashara
  5. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya viwanja na mashamba Mwanza haya hapa bei poa

    We Jamaa kama kiwanja kimepimwa weka sqm zake acha kuweka hatua za miguu
  6. ZaqEddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Yaan Malaya kama Hawa mi huwa siwaachi ila ndoa asahau
  7. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini maziwa hayana rangi nyekundu?

    Shahawa, mate, machozi na kinyesi vipi? Non sense
  8. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Je umri gani Serengeti boys ....Wanakuwa wakubwa ....

    Maisha yameboreka sana misosi wanayopiga na stress free lazima wakue sio kudumaa... Mbona wadogo kuliko wazungu Hapo.. Mzungu U17 Ni noma
  9. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Hii katuni ya Kipanya hatari, sio kwa mbeleko hii

    Kuna watu wanapenda kuona watu wamekasirika Kwa matendo yake ya kuudhi
  10. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania James Lembeli: Walitaja magonjwa ya wenzao wakaacha yao

    MTU akitubu ametubu.. Acha kumfuata Nape now amejielewa
  11. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Kwa nini huu Uzi usifutwe na Mods
  12. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya ndani unani wewe!

    Sipangiwi, Unataka waziri Atumbuliwe nini? Hembu acha watu wa kamati ndogo za Bunge walioona mbali waachane na kudanganya wananchi.. Hakuna nchi ya Viwanda tunayo nchi inaitwa Tanganyika
  13. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Sasa siyo siri tena ni Vita vya Magufuli na Makonda dhidi ya Mawaziri wa CCM!

    Unanijaribu? Sipangiwi.. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  14. ZaqEddy

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais

    Unanijaribuuuu???
Back
Top Bottom