Waziri wa Mambo ya ndani unani wewe!

Waziri wa Mambo ya ndani unani wewe!

Mwiguru atageuka mzigo, bora alivyokuwa naibu waziri wafedha kuliko huu uwaziri kamili wa mambo ya ndani
 
Sipangiwi, Unataka waziri Atumbuliwe nini? Hembu acha watu wa kamati ndogo za Bunge walioona mbali waachane na kudanganya wananchi.. Hakuna nchi ya Viwanda tunayo nchi inaitwa Tanganyika
 
Nasikia presenter wa U_ Heard alipewa za mbavu na chembe, siku kadhaa hajaingia kwenye kipindi.
 
Usalama wa Taifa iko chini ya Ofisi ya Raisi. Na wizara ZOTE pamoja na Waziri Mkuu zipo chini ya Paul Makonda. Kwa kifupi, kimadaraka Tanzania akitoka Raisi anafuata Paul Makonda. Bado kuna kitu hakijaeleweka Wakuu?
 
Hongera mwiguru kwa hekima zako kwa kutambua ugovi wa clouds na makonda kuwa niwakirafiki , Nape ujifunze kutoka kwa mwiguru. Mimi ninakidonda kwa kumsema LOWASA kuwa amejnyea kipindi cha uchaguzi sitaki kusikie jina la nape
 
hii wizara ni ngumu saaaana..jaribuni kufatilia walopita yani ukiwa na mahesabu mafupi wazembe wanakuzamisha majini kizembe
 
jamaa kafyanta mkia sio umeingia katikati ya miguu bali umeingia kabsa sehemu ile ya *
 
unjua kinacholeta shida hapa ni takwa la watu kuwa makonda atumbuliwe,namnukuu mkuu wa Nchi pale ubungo juzi,alisema tena mnavyonipangia kwenye mitandao ndio mnaaribu kabisa mimi sipangiwi,ni bora mngekaa kimya!!!!sijui kama hamkuelewa au kiongozi shupavu kama Mh Rais hafanyi kazi kwa kupitia mitandao imeandika nini,viva My prezdaa

Mmmh kumbe, sasa anaenda kufanya nini huko kwenye mitandao?
 
DSM si mmepata waziri wenu wa mambo ya ndani? Acheni huyu wa nchi awatumikie wananchi wa mikoa mingine.
 
Kwa ufahamu wangu mdogo waziri wa mambo ya ndani wa nchi yetu ndiye msemaji wa mambo yote yanayohusu polisi, magereza, uhamiaji na hata usalama wa taifa kama sijakosea sana. mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwenye mkoa wake.... anaweza kuvitumia vyombo vya ulinzi na usalama kwenye issue official.... sasa hili la mkuu wa mkoa kuwatumia police kwa issue private je waziri wa mambo ya ndani ulitoa baraka zako ndo maana upo kimya au upo nje ya nchi haujui kinachoendelea au mkuu wa police ndo alitoa kibali? wote mpo kimyaaaa nini tatizo au hamuoni kama hilo ni tatizo? mkikaa kimya kuna hatari zifuatazo

1: wananchi tutaamini mmehusika kwa nna moja amanyingine.
2: tutakosa imani ni nyie viongozi wetu.
3: ipo siku hao police wataelekezwa kufanya jambo baya zaidi ya hilo liliofanywa....

Waziri na mkuu wa polisi naomba kujua toka kwenu kama kutumiwa kwa hao polisi ilikuwa sahihi na kama siyo sahihi wananchi tuwaone hata mkitoa karipio tu kwa viongozi wa kisiasa wasiwatumie polisi kwa issue zao binafsi....nawasilisha....

Mtanzania mzalendo... Bado nina imani na nyie wakuu...
alisema MH. RAIS TUNDU LISSU kuwa "huyu DIKTETA UCHWARA inabidi apingwe kwa njia yeyote"

wizara zipo tu kwa matakwa ya KIKATIBA ila hakuna wizara inayo operate independently....

maamuzi yote anaamua dikteta UCHWARA,

yeye ndio wazir wa fedha na mipango...
yeye ndio wazir wa uchukuzi....
yeye ndio wazir wa afya....
yeye ndio wazir wa mambo ya ndani...
yeye ndio wazir wa sheria...
yeye ndio IGP "i wish i could be igp"

na yeye ndiye wazir mkuu (PM)

wala usimlaumu wazir yeyote yule kuwa yuko kimya kwenye ishu yoyote.

ila mimi namlaumu wazir wa viwanda kwa kutudanganya kuwa nchi imeanzisha viwanda vingi afu analeta takwimu ya viwanda vya SIDO...

hivi wakati mnaomba kura mlituahidi viwanda vya SIDO?

mimi ningewashaur MAWAZIRI wote wangejiuzuru ili aendeshe yeye mwenyewe nchi.
 
Zipo sintofahamu nyingi sana katika nchi yetu kwa sasa. Katika sakata la madawa ya kulevya Waziri wa Mambo ya Ndani alifumba kinywa.
Katika hili la kuvamiwa Clouds FM yuko kimya.Lakini kwa ujumla Mawaziri wengi wana ukimya unaotia mashaka.Kunani?Time will tell.
 
alisema MH. RAIS TUNDU LISSU kuwa "huyu DIKTETA UCHWARA inabidi apingwe kwa njia yeyote"

wizara zipo tu kwa matakwa ya KIKATIBA ila hakuna wizara inayo operate independently....

maamuzi yote anaamua dikteta UCHWARA,

yeye ndio wazir wa fedha na mipango...
yeye ndio wazir wa uchukuzi....
yeye ndio wazir wa afya....
yeye ndio wazir wa mambo ya ndani...
yeye ndio wazir wa sheria...
yeye ndio IGP "i wish i could be igp"

na yeye ndiye wazir mkuu (PM)

wala usimlaumu wazir yeyote yule kuwa yuko kimya kwenye ishu yoyote.

ila mimi namlaumu wazir wa viwanda kwa kutudanganya kuwa nchi imeanzisha viwanda vingi afu analeta takwimu ya viwanda vya SIDO...

hivi wakati mnaomba kura mlituahidi viwanda vya SIDO?

mimi ningewashaur MAWAZIRI wote wangejiuzuru ili aendeshe yeye mwenyewe nchi.

Wewe jamaa una akili sana, mana hata mimi nlipata mshangao baada ya kusikia viwanda vimeongezewa neno vidogovidogo hahha
Hatari sana.
Vyeti sasa, kama wewe ni mchapa kazi unaambiwa kapige kazi wewe cheti si ishu achana ba habari za kwenye mitandao,
Uvamizi, hapo ni
 
Wanafunzi wakipigwa viboko. ..tamko linafanwa na mawaziri wa tano
 
Back
Top Bottom