Hivi ni kwanini maziwa hayana rangi nyekundu?

Kwanini ulitaka yawe na rangi nyekungu na sio njano, kijani, nyeusi au buluu!?
 
Ungeuliza kwanini hayana rangi ya kijani ningejua kweli unataka kufahamu.
 
Yaani mkuu una Akili za kuzindua vitu hizo sema zimezaliwa siko!!! inquisitive mind!!!
 
Yasingekuwa maziwa tena bali yangekuwa damu. Yaani wewe ma yule waziri hakuna tofauti ni bashite juu ya bashite
 
Back
Top Bottom