Kwa mahitaji ya viwanja na mashamba Mwanza haya hapa bei poa

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Kuna shamba ekari moja masemele Buswelu bei mil 4.5
Kuna shamba ekari mbil kasoro 150*85 liko isanzu ilalila Buswelu bei Mil 5 .5
Kiwanja 27*40 Buswelu mil sita
Pia kuna kiwanja buswelu 28*16 kimepimwa hati ipo bei mil 5.5 kwa mawasiliano zaidi plz ni sms au ni WhatsApp kwa 0763772636/0789047874
Karibuni sana
 
Siku nyingi sijafika Mwanza, hebu nambie ni maeneo gani naweza kupata kiwanja chenye clear view ya ziwa, siyo lazim kiwe jirani kabisa na beach, kikiw sehem yenye muinuko, barabara, umeme maji, good neighbourhood, hata ikiwa mbali na mji haina neno alimradi ifikike kwa gari.
 
We Jamaa kama kiwanja kimepimwa weka sqm zake acha kuweka hatua za miguu
 
Siku nyingi sijafika Mwanza, hebu nambie ni maeneo gani naweza kupata kiwanja chenye clear view ya ziwa, siyo lazim kiwe jirani kabisa na beach, kikiw sehem yenye muinuko, barabara, umeme maji, good neighbourhood, hata ikiwa mbali na mji haina neno alimradi ifikike kwa gari.
Luchelele, Bwiru,capripoint
 
Kuna shamba ekari moja masemele Buswelu bei mil 4.5
Kuna shamba ekari mbil kasoro 150*85 liko isanzu ilalila Buswelu bei Mil 5 .5
Kiwanja 27*40 Buswelu mil sita
Pia kuna kiwanja buswelu 28*16 kimepimwa hati ipo bei mil 5.5 kwa mawasiliano zaidi plz ni sms au ni WhatsApp kwa 0763772636/0789047874
Karibuni sana
Mkuu weka na viwanja vilivyopo Arusha na bei zake.Au ni pm
 
KWA MAHITAJI YAKO YA VIWANJA KATKA MAENEO KAMA MURIETI, MOROMBO via BONNY CITY , INTEL , MURIETI via EAST AFRICA ROAD VINAPATKANA HATA UKIHITAJI EKA 5 NI MAENEO MAZURI KWA MAKAZI MAJI YAPO VILE VILE UMEME UPO KWA BAADHI YA MAENEO TUNAANZA KUUZA KUANZIA MITA 10*10, 20*20, 15*20 NA KUENDELEA UNAWEZA KUWASILIANA NAMI HAPA [HASHTAG]#0757603234[/HASHTAG] [HASHTAG]#0716063699[/HASHTAG] AU FIKA NAMVUA PLAZA KARIBU NA STEND KUBWA MKOANI ARUSHA GHOROFA NAMBA 4, ULIZIA OFISI ZA ONE 2 ONE FOCUS COMPANY...
 
Back
Top Bottom