mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Mimi namsikitikia mramba wa tanescoHili si la uongo, mi nakereka watu wamefukuzwa kazi tena wengine wakiwa watendaji na watumishi wazuri kabisa, kisa vyeti vyao vina kasoro na vingine havionekani . Leo Bashite aliyetaga na kudandia vyeti vya mtu mwingine ni shujaa wa mkulu????!!! (DOUBLE STANDARD)