Makosa 10 aliyotenda Mungu

Makosa 10 aliyotenda Mungu

Bila shaka wewe uliye andika huu walaka ni ajent wa rusifa umetumwa uwapotoshe wanakondoo wamungu hila utajipotosha mwenyewe
 
Kwa hiyo kwa uelewa wako wewe ni kwamba ili uamini Kama Mungu yupo basi ni mpaka ajitokeze kila mtu amuone!! Umefeli. Ili upate majibu Kama Mungu yupo au hayupo, basi unapaswa uanze

kujiuliza wewe mwenyewe Kama una akili au Hauna?? Ukijibu kuwa unazo, basi itakupasa nawe ututhibitishie je, unazo akili ngapi?

Ni doctor yupi aliye kufanyia op ya kichwa Akathibitisha kuwa unazo??

Je! Unaweza kutuonyesha akili zako ili nasi tuamini Kama kweli unazo??

Ina Maana ukitujibu kuwa huna akili basi nasi hatuta kushangaa kwanini hauamini uwepo wa Mungu

Pia Kama utatujibu kuwa unazo akili bado tutaendelea kukushangaa kwa kule kuaminikwako kuwa unazo akili hali ya kuwa hukuwahi kuziona na ukashindwa kuamini uwepo wa Mungu Eti kisa haonekani??

Pia unapouliza kuwa Eti bila sayansi maisha yasingewezekana!! Unazidi kututatanisha kuhusu akili zako!! Kwa maana Mungu huyo ambaye wewe humuamini ndiye aliyeileta hiyo sayansi ulimwenguni, sasa wewe unaimini sayansi hali Yule aliyeileta hiyo sayansi hutaki kumuamini!!!!

Nitakuonyesha kwa uchache kuwa Allah ndiye aliyeanzisha hiyo sayansi

1) KUKUTANA KWA BAHARI MBILI (YA MAJI CHUMVI NA MAJI MATAM) QUR 55:19-20

19) "Anaziendesha bahari mbili zikutane.
20) baina yao kipo kizuizi zisiingiliane

2) MELI KUPITA BAHARINI NI KWA UWEZO WA ALLAH
Quran 22:65
"Je, huoni kwamba Mwenyezi Mungu amevizalilisha kwenu vilivyomo katika ardhi na merikebu zipitazo baharini kwa amri yake, na amezishika mbingu zisianguke Juu ya ardhi ila kwa idhini yake..... "

3) KUUMBA VIPANDO (VYOMBO VYA USAFIRI) NA ALIAHIDI KULETA VINGI ZAIDI YA VILE VILIVYOKUWA VINAFAHAMIKA KWA KIPINDI KILE, AMBAPO LEO TUNAONA KUNA NDEGE, MAGARI, TRENI N.K

QUR 16:8" Na farasi na nyumbu na punda ili muwapande na kuwa ni pambo. Na ataumba msivyovijua"

4) MWEZI NA JUA KWENDA KWA MPANGILIO WA HESABU MAALUM QUR 36:38-39

Kwa kifupi sayansi yote chanzo chake ni Mwenyezi Mungu. Anza leo kuisoma quran na tafsir yake utapata kufahamu mengi na hatimaye Allah akipenda atakuonyesha njia iliyo sahihi

Good night
Unaposema AKILI una maanisha nini? kwako akili ni kitu gani?
 
Bila shaka wewe uliye andika huu walaka ni ajent wa rusifa umetumwa uwapotoshe wanakondoo wamungu hila utajipotosha mwenyewe
Hakika una haki zote za kujiita kondoo maana hata kuandika tu inakushinda.
 
WEWE WIRELESS BRAIN MIMI SIKUFUNDISHI ILA NIKWAMBIE TU HUJUI KUTAFSIRI MAANDIKO MAANA HUNA ROHO MTAKATIFU NA HUYO ANAEKUFIKIRISHA NI ROHO MTAKAFUJO a.k.a SHETANI,EBU FIKIRI KIDOGO TU NI KWA NIA GANI HASA UNAOA MKE NA HUKU UKIJUA ATAPATA MIMBA NA ATAZALIWA MTOTO AMBAYE ATAKUTANA NA SHIDA NYINGI NA MATESO MENGI HADI KIFO CHA HASARA MAANA ATAACHA MALI ZAKE ZOTE ALIZOCHUMA KWA TAABU NYINGI?SWALI KWAKO ;NI KWA NINI SASA UNAZAA HALI YA KUWA UNAJUA KUNA MATESO UNAMTENGENEZEA HUYO MTOTO WAKO?JE,NI KWELI UNAPOMWAMBIA NAKUPENDA MWANANGU IKIWA KWAMBA UMEMLETA MWANAO KWENYE DUNIA YA MATESO?FIKIRI UPYA KUHUSU MUNGU UTAANGAMIA !!!
Nifikirie upya kitu kisicho kuwepo?..........Halafu una uandishi mbovu sana...........hope you're not above 20.
 
Lakini ni Mungu huyo huyo anayedaiwa kumuumba mtu kwa mfano wake.
Hayo ni maandiko yanapatikana kwenye biblia tu. Unakuta mahala pameandikwa kwamba Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake, kisha ukifunua ukurasa mwingine pameandikwa Mungu hafanani na yoyote,

Ktk quran hakuna Hayo mambo

mwerevu
 
Mkuu umenena mambo ya msingi sana tatizo wanaoamini hujifanya kufumba jicho moja wasijiulize mambo haya wakati yako wazi kabisa.
 
Attachments

  • FB_IMG_1490213250612.jpg
    FB_IMG_1490213250612.jpg
    23.2 KB · Views: 45
  • FB_IMG_1490213954891.jpg
    FB_IMG_1490213954891.jpg
    46.2 KB · Views: 49
  • FB_IMG_1490209967814.jpg
    FB_IMG_1490209967814.jpg
    35.2 KB · Views: 53
  • FB_IMG_1490212865613.jpg
    FB_IMG_1490212865613.jpg
    32.9 KB · Views: 51
  • FB_IMG_1490209832665.jpg
    FB_IMG_1490209832665.jpg
    26.5 KB · Views: 43
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
MUNGU amekusamehe.
 
Mungu hakumuumba shetani.

soma kitabu cha Mwanzo 1,2,3.

shetani ni tokea la kutaka kufanana na Mungu.

mengine yote uliyo andika ni matokea ya kizazi kiovu kitokachi kwa baba wa uongo-shetani.

soma uumbaji,hakuna panapo onesha kuumbwa kwa shetani kama tokeo la Mungu muumbaji.

acha kupotosha.
 
Acha upumbavu wewe.umekula maharage ya wapi.....mkuu
Akili zako ni za kushikishwa, yaani unaishi sababu ya fikra za watu wengine.

Ni sawa sawa ma umavyomiga fikra za Gwajima kwenye kuuliza 'umekula maharage ya wapi?' bila kujua kama maharage yana negative impacts kwenye mwili..........No wonder unatetea hizo fikra ulizoshikishwa.
 
Mungu hakumuumba shetani.

soma kitabu cha Mwanzo 1,2,3.

shetani ni tokea la kutaka kufanana na Mungu.

mengine yote uliyo andika ni matokea ya kizazi kiovu kitokachi kwa baba wa uongo-shetani.

soma uumbaji,hakuna panapo onesha kuumbwa kwa shetani kama tokeo la Mungu muumbaji.

acha kupotosha.
Kwenye post za nyuma hili swala wenzako walilileta na nililitolea ufafanuzi.

Akili zenu ni zile zile, ni moja, ni za kufikirishwa badala ya kufikiri huru.

Kama Mungu anajua yajayo, yaliyopo, na yaliyopita, ilikuwaje akamuumba Lucifer ambae atakuja kuasi siku zijazo?
 
Back
Top Bottom