Wakuu nadhani kumekuwa na wageni wengi sana wanaokuja nchini, ambazo wanakaa kwa mda mfupi na kuondoka nikiwepo mimi mmoja wapo, sasa wakuu nadhani nimejaribu kufatilia jibu sijapata ina maana nchi yetu hamna sehemu yenye apartments ambazo zipo fully furnished ambazo wanapangangisha kwa mda...
Yeah ni kweli ukiwa na mkoba wa malawi watu wengi ndio walikuwa wanachukua hiyo advantage kuingia U.K ilikuwa raha sana na wabongo..wazimbabwe wengi sana wameingia kwa njia hiyo U,K kwa kutumia mkoba wa malawi..ila nadhani hiyo kitu wameshaifuta sasa hivi hamna tena...Maana kila mtu alikuwa...
Mkuu nadhani kwanza kabla ya yote inategemea kwanza imekuwaje mpaka ukaachwa au akaachika hihihi...Anyway ni kwamba kuachwa inauma sana na mtu asikuambie kabisa na pia nadhani hujawahi kuachwa ndio maana umeuliza ila hata mimi pia sijawahi kuachwa ningeachwa nisingecoment so ingekuwa vizuri...
Kikwete na watu wake 2010 hahitajiki wapewe watu wengine wa maana...Maana vitu kama hivyo vinatokea sana tena sana sasa hicyo nchi naona kila mtu imekuwa ya kwake mpaka maastari na wenyewe...........
Tukae tukifikiria kwamba wananchi ndio wanaomngoa RAIS kwenye kiti na sio viongozi so kama hiyo itatokea TZ nadhani ndio itakuwa mara ya kwanza.,....Na hapo hapo hao wananchi wanadanganyika kwa tisheti za bure pamoja na kanga...Swali linakuja je viongozi wake kikwete aliowachagua na kuwaweka...
Mimi sija install hiyo window ila labda jaribu kucheck hapo kibarazani kama itakuwepo maana sijacheck kama ipo au hamna check hapa kwanza
https://www.jamiiforums.com/educational-stuffs-downloads-tutorials/
Pamoja!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.