Msaada ku-Update Windows Software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada ku-Update Windows Software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BabaDesi, Mar 31, 2009.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Windows Software ya D/Top yangu (Dell) haijakuwa Updated kwa hiyo imeniandikia message kwenye screen chini kulia kuwa 'You may be a Victim of Software Counterfeinting. This Copy of Windows Did Not pass Genuine Windows Validation' na kila mara inafanya screen yangu kuwa black ingawaje naweza kuendelea na kazi zangu nyingine bila wasiwasi na pia Icon zinaendelea kuwepo kwenye screen. Mtaalamu ameniambia kuwa kinachotakiwa ni Ku-Update Windows Software ya Computer yangu na kupata latest. Nikaona niulize hapa JF kusikoshindikana kitu. Natanguliza Shukurani.
   
 2. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani kuna window ambayo umedownload siyo halali so hiyo haiwezi kutoka labda zaidi unaweza kutatua hilo tatizo kwa kutoa hayo maneno au hizo error zote unazopata kila ufunguapo PC yako zaidi nenda kwenye hii link nakumbuka nilipatwa na hilo tatizo nika wacontact Microsoft wakanipa hayo maelezo ndio nikaweza kutoa hayo maneno usiyotaka na mpaka sasa PC yangu inafanya kama kawaida sijabadilisha WINDOW wala sijaweka kitu chochote zaidi fatilia hii link nitakayoweka hapo fatilia hiyo pst sehemu ya mwisho nadhani unaweza kutatua nini unataka...CLICK HAPO CHINI WALIPOANDIKA MSAADA PLEASE!!

  https://www.jamiiforums.com/technology-science-forum/16847-msaada-please.html
   
  Last edited: Mar 31, 2009
 3. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hii ina maana kuwa kopi yako ya Windows ni feki na siku hizi Microsoft wanajua feki serial numbers. Utaendelea kuitumia bila matatizo ila hutaweza kupata updates toka Microsoft.
  Kutatua suala lako ni uweke kopi ya Genuine Windows (fresh install) au kama kuna mtu anajua kubadilisha serial namba ..yaani akuwekee genuine 1 (kama itawezekana).
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ..Yassin, Hebrew, Nawashukuru saana wakuu kwa msaada wenu. Nitajaribu hizo njia zote mlizonishauri. Asanteni. Meanwhile, Hii Genuine Windows naweza kui-download na kui-install kutoka hapa hapa barazani kwetu?
   
 5. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hii sio sababu ya kutoupdate, inatokea unapojaribu ku-update copy ya wizi ya Windows, hivo ni muhimu kuzima AutoUpdate ukiwa na kopi ya wizi.

   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Mar 31, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Unachotakiwa wakati wa kuwasha si inakuuliza kama unataka kusajili ? Sema yes kisha itakuunganisha katika tovuti ya microsoft utapata serial no mpya ukishanunua hiyo ndio njia rahisi kuliko zote hauhitaji kufanya reinstall tena
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Mar 31, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mkuu umeamua kuwa hakimu wa kibongo -- tuwe profesinal ni bandia sio wizi mwingine anauziwa bila kujua na wengine kwa kujua huo sio wizi sema ni bidhaa bandia hata akipelekwa katika vyombo vya sheria hashtakiwi kwa wizi
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hata kama unauziwa haujui bado ni ya wizi sio bandia! Bandia ingekua haijatengenezwa na Microsoft.
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Mar 31, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Wizi kwahiyo ameiba si ndio --kwa kiswahili tunatumia bandia kwa sasa ndio neno linalotambulika afrika mashariki na kati na sio wizi -- tufuate misingi ya lugha forum hii inasomwa na wengi

  ahsante
   
 11. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu Shy Nakubaliana nawe. Nadhani 'Kopi ya Bandia' ndio kiswahili chema zaidi na ndio maana hata hao Windows wenyewe wanasema conterfeit ambayo sidhani kama tafsiri yake ni Wizi.

  Mkuu Yassin, Nimetumia njia uliyonielekeza na maandishi yale ambayo kwa kweli yanakarahisha sana yameondoka. nakushukuru sana mkuu. Kweli JF huwezi kukosa kitu. Nawashukuruni wakuu.

  Kinachoniudhi ni kwamba hii D/Top yangu ina mwaka mmoja na nusu sasa toka niinunue Duka moja la pale Jamhuri/Morogoro Rd na sijawahi kuinstall kitu chochote zaidi ya nilivyoitoa dukani. Wao wanasema ni kwa kuwa sijai-update hiyo Software ya Windows iliyokuwamo ndio maana nimepata ujumbe huo!

  Je inawezekana hawa jamaa toka mwanzo waliniuzia Software Counterfeit ama ni kweli kwamba nilipoinunua ilikuwa genuine lakini kwa vile sikui-update ndio maana inatoa ujumbe huo??
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  Mar 31, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mkuu Yassin, Nimetumia njia uliyonielekeza na maandishi yale ambayo kwa kweli yanakarahisha sana yameondoka. nakushukuru sana mkuu. Kweli JF huwezi kukosa kitu. Nawashukuruni wakuu.

  BABADESI HAPO HUJATATUATATIZO LENYEWE UKITAKA UKITAKA KUUPDATE KUNA KITU KINAITWA WGA -- KITAKULAZIMU UFANYE USAJILI WA OPERATING SYSTEM YAKO KWA MICROSOFT ILI UWEZE KUPATA HIZO UPDATES ULICHOPATA KIMEONDOA HUO USUMBUFU KWA MUDA TU

  Kinachoniudhi ni kwamba hii D/Top yangu ina mwaka mmoja na nusu sasa toka niinunue Duka moja la pale Jamhuri/Morogoro Rd na sijawahi kuinstall kitu chochote zaidi ya nilivyoitoa dukani. Wao wanasema ni kwa kuwa sijai-update hiyo Software ya Windows iliyokuwamo ndio maana nimepata ujumbe huo!

  UKITAKA KUPDATE UNATAKIWA UISAJILI KWANZA SASA INAONEKANA KUNA MTU MWINGINE AMESAJILI SERIAL NO YAKO AU PRODUCT KEY ZAKO TAYARI KAMA ULIPEWA PRODUCT KEY AMBAZO ZIKO HAPO KATIKA STICKER PEMBENI YA DESKTOP YAKO AU JUU AU KATIKA ORIGINALCD YA OPERATING SYSTEM YAKO KWANI HAWAKUKUPA CD ZAKE ? AU MTU ALIBANDUAHIYO PRODUCT KEY KAENDA KUITUMIA SEHEMU NYINGINE - ULIINUNUA BEI GANI HIYO -- HILO NI DUKA LIPI SIKU HIZI PALE KUNA CAPRICON TECHNOLOGIES , ORCHARDS ,NI DUKA LIPI HILO HAPO
   
 13. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu. Asante kwa maelezo ambayo yananifungua macho. Hawa jamaa wanapakana na ile Bucha iliyoko baada ya A-Tea Room Mor Road/Jamhuri Str kama unaelekea Stand ya Mabasi Kisutu. Sijui kama wamebadilisha jina lakini jina lililo kwenye risiti zao ni 'City MultTech Zone' na wakati ninainunua hawakunipa CD yoyote kwa maelezo kwamba kila kitu kiko complete! si unajua tena mkuu, ugeni wa mambo! Kwa maelezo yako inaelekea jamaa wali-take advantage ya kutojua kwangu na kuniwekea hiyo Counterfeit Operating System wakijua fika kuwa baada ya muda itanisumbua na hivyo nitarudi kwao tena na wao watadai kuwa ni lazima tui-update system ambapo sio bure??
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Ya wizi, sijasema ameiba, at the very least amenunua bidhaa ya wizi.
  Basi neno linatumika vibaya siyo vizuri kuendele kulitumia.
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  Apr 1, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hilo duka nalijua hata sasa niko karibu nalo

  PALE VILE WANAVYOUZA SIO VYAO NI MIKOPO WANATOA DUKA LINGINE LINALOITWA MITSUMI COMP GARAGE PALE SAMORA HOUSE UKIINGIA MITSUMI KUNA TANGAZO KABISA KWAMBA HAWAUZI BIDHAA BANDIA AU KUINGIZA BIDHAA HIYO KWENYE CHOMBO CHA MTU WOWOTE NA PALE UNAPONUNUA KOMPUTER UNAKUTA IKO INSTALLED NA WANAKUPA ORIGINAL CD YAKE AU WANAKUELEKEZA JINSI YA KUBURN RECOVERY CDS
   
 16. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Solution provided on post number 6 is likely to solve your problem.  .
   
 17. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Shukurani Sana Mkuu. Inawezekana basi ni wale vijana wauzaji walioko pale walifanya kajiuhuni fulani. Bongo yetu hiyo, kila mtu anakula mahala pake pa Kazi. Nikitaka sasa kuin-stall Windows Halisi ni kiasi gani na wapi nitakuwa na uhakika kwamba ninachonunua ni kile kilicho boora kabisa? Hii ni kwa kuamini kuwa hapa Barazani kwetu haipo!!!
   
 18. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #18
  Apr 2, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  MITSUMI COMPUTER GARAGE WANAUZA CD AMBAZO NI GENUINE PAMOJA NA SERIAL NO NAFIKIRI DOLA 140 HIVI AU JUU YA HAPO , UKIENDA MTAA WA JUMHURI KWA MBELE NA MOSQUE KUNA DUKA LINAITWA oRCHARDS NAPO WANAUZA CD HIZO , AU MTAA HUO HUO MBELE YAKE KAMA UNAENDA KISUTU KUNA IDEAL COMPUTERS NAPO UTAPATA CD HIZO INGAWA MWAKA JANA WALIKUWA NA KASHFA YA KUUZA PROGRAMU BANDIA
   
 19. Bladerunner

  Bladerunner Member

  #19
  Apr 2, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  anachosema mkuu hapo ni sawa kwa nyongeza unaweza ukaenda kwenye option ya entering key moja kwa moja kuliko kununua nyengine!!(kama unayo ambayo ni genuine)other than that
  -unplug network cable/disable all network connections.
  -exctract all necessary documents and save them on another partition drive/external hard drive!!
  -format the drive ambayo ina o/s ya hiyo windows.
  (make sure you have all the drivers b4 formating).
  -re-install the same copy of windows(ambayo imeleta matatizo)
  -after installation
  1-disable automatic windows updates
  2-download manually the service pack you need and update!!
  NOTE:WHATEVER YOU DO ''DO NOT TRY TO VALIDATE YOUR COPY AS YOU'LL BE BACK TO SQUARE 1..AND DON'T INSTALL WINDOWS DEFENDER!!

  hope that will save you money and time!!
  mind you ni kosa kuwa na product ambayo sio genuine you could get in serious trouble..
  my advice jipigepige upate genuine window ili kuepukana na matatizo kama haya na mengineyo.
   
 20. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145


  Naona hii na Hiyo ya Shy hapo juu ndio lasting solution ya kudumu ya tatizo langu. Nitafanya hivyo. Je hawa wakalamba wangu nilionunua kwao, kama ni mchezo wao si watakuwa pia wanaumiza watu wengine wasiojua kinachoendelea?? What do we do about them??
   
Loading...