Kenyan Visa

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Nauliza kwa mtanzania ukitaka kwenda kenya lazima uwe na visa?
 
No need kama wewe ni raia wa East Africa.....just passport inatosha! Ila kuna vikadi fulani vya East Africa vinapatikana immigration unatakiwa kuvijaza....but again uzoefu wangu unaonyesha hakuna anayevifuatilia ukifika huko Kenya!
 
Ndio. Lakini unachukulia at the entry point. Airport/Namanga.
how much fee yao?
Passport tu.
Unahitaji kuwa na pasi ya kusafiria tu.
No need kama wewe ni raia wa East Africa.....just passport inatosha! Ila kuna vikadi fulani vya East Africa vinapatikana immigration unatakiwa kuvijaza....but again uzoefu wangu unaonyesha hakuna anayevifuatilia ukifika huko Kenya!
Wakuu kuna mmoja wenu alishawahi kwenda KE? Maana kuna mwingine kasema nahitaji VISA na nyie mwasema sihitajiki…..
 
Ndio. Lakini unachukulia at the entry point. Airport/Namanga.

Hamna...u dont require a VISA...infact if you have an EA paaport they dont even stamp...bora ujaze vile vikadi vya entry declaration.
 
Wakuu kuna mmoja wenu alishawahi kwenda KE? Maana kuna mwingine kasema nahitaji VISA na nyie mwasema sihitajiki…..

Yes kwa mara ya mwisho nimeenda KE August 2007.....visa haihitajiki kabisa....just passport mkuu!
 
Hamna...u dont require a VISA...infact if you have an EA paaport they dont even stamp...bora ujaze vile vikadi vya entry declaration.

I think getting a VISA will depend much on what you are going to do in KENYA.
Mi niko KENYA kikazi and I normally pay for it. USD100 for 3months.

Hata Wakenya wakija TZ kikazi pia hulipishwa hiyo amount.... Though some say this is just an arrangement these immigration people do to get money cos i've heard stories kwa Wakenya wakikamatwa hata kwenye mahoteli eti kisa hawakulipa hiyo hela...

Kwa wanaoelewa haya mambo ya ushirikiano wa kimataifa tungependa kujua hapa EA inakuwaje kuhusu VISA??

Is it official to do such payments??
 
Mkuu DMussa, hiyo ni "Work permit fee" na haihusiani na Visa. Manake kwenda Kenya unakuwa na Passport yako tu, ile ya Afrika Mashariki, ya Dunia ama ile ya Afrika Mashariki na kati ambayo ni karatasi moja. Ukiwa Airport ama mpakani (Namanga, Sirari/Isebania nk) unajaza "entrance clearence card", kuonesha unaingia kwa sababu gani na utafikia wapi? na pia utakaa kwa siku ngapi. Wanagonga muhuru passport basi umemaliza. Hakuna malipo yoyote.
 
I think getting a VISA will depend much on what you are going to do in KENYA.
Mi niko KENYA kikazi and I normally pay for it. USD100 for 3months.

Hata Wakenya wakija TZ kikazi pia hulipishwa hiyo amount.... Though some say this is just an arrangement these immigration people do to get money cos i've heard stories kwa Wakenya wakikamatwa hata kwenye mahoteli eti kisa hawakulipa hiyo hela...

Kwa wanaoelewa haya mambo ya ushirikiano wa kimataifa tungependa kujua hapa EA inakuwaje kuhusu VISA??

Is it official to do such payments??

If you go in Kenya kufanya kazi unalipa hiyo dola mia per three months. Working permit 100$. Wanaprotect labour industry.

If you go on transit or living or family or visit but you are Tanzanian visiting any kenyan relatives or what else bila kufanya kazi yoyote then is free of charge hapa ni pasi yako yahitajika na utapatiwa entry stamp na ukitoka pia watapiga muhuri kwa pande zote za nchi Namanga TZ na Kenya. Kupiga muhuri na kujaza zile fomu ni kwa ajili ya
AUDITING wananchi wavyoingia na kutoka na uhusiano wa nchi hizo umefikia vipi. EA

Hatuhitaji visa yoyote kuingia UG, KQ
 
Ama you can just sneak in and out like everybody else, just make sure your sheng is on point so that the cops dont sense the Tanzanian accent, and your pocket is laced with dollars ama ksh to give the cops incase wakushike. Many Foreigners work in Kenya with forged documents as long as you are not visibly different i.e you are not of Arab, Caucasian, or Indian descent.
 
Jamani Smatta, mambo haya ndo yanafanya nchi zetu za kiafrika zionekane ni za kihuni tu. Tutakuwa wahuni mpaka lini? Lini tutafikia mahali pa kufuata utaratibu na kuishi maisha ya haki/kistaraabu na kumcha MUNGU? Yaani wewe unamshauri aje illegally! Lol! Yo Yo please don't buy this advice.
 
Nauliza kwa mtanzania ukitaka kwenda kenya lazima uwe na visa?

Naona majibu yamekuchanganya badala ya kukusaidia mkuu, nijuavyo mimi, huhitaji VISA yoyote, unakuwa na passport yako tu ukifika airport wanakuuliza sababu na muda wa kukaa ukiwaambia wanakugongea muhuri unazama ndani, labda kama wamebadili mimi nilikwenda mwaka jana Disemba na sikuwa na VISA yoyote
 
mhh naona mpwa amesha kwea pipa kitambo nyie mnaendelea mkumpa maelezo wakati yuko Mombasa anakula ukwaju tih tih kwi kwi mpwa wangu ana matatizo kweli.
 
Ama you can just sneak in and out like everybody else, just make sure your sheng is on point so that the cops dont sense the Tanzanian accent, and your pocket is laced with dollars ama ksh to give the cops incase wakushike. .

Wow!

I like the idea, why suffer and there's an alternatives.

Hahahahaha...........
 
mhh naona mpwa amesha kwea pipa kitambo nyie mnaendelea mkumpa maelezo wakati yuko Mombasa anakula ukwaju tih tih kwi kwi mpwa wangu ana matatizo kweli.
i aint goin nowhere ila kuna upambe fulani nafanya.....mjini hapa mkuu

wakuu thans sana.......haya mambo wengine hatujasafiri sana.....kuna wakati nilisikia ukiwa na mkoba Malawi hamna haja ya VISA ya kuingia kwa bibi lizabeti...kweli?
 
Yeah ni kweli ukiwa na mkoba wa malawi watu wengi ndio walikuwa wanachukua hiyo advantage kuingia U.K ilikuwa raha sana na wabongo..wazimbabwe wengi sana wameingia kwa njia hiyo U,K kwa kutumia mkoba wa malawi..ila nadhani hiyo kitu wameshaifuta sasa hivi hamna tena...Maana kila mtu alikuwa anakwenda malawi anatafuta mkoba then anaingia hapa bila problem lakini sasa hivi hamna tena hicho kitu!!
 
Back
Top Bottom