Askari 2 wa JWTZ wadaiwa kufanya ukatili Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari 2 wa JWTZ wadaiwa kufanya ukatili Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magobe T, Apr 2, 2009.

 1. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Jana nilikuwa nasafiri kwa gari kutoka Posta kwenda Sinza. Nilipofika opposite na Mahakama ya Ndizi (baada ya Barabara inayoenda Mabibo) kushoto niliona watu wengi sana wamekusanyika.

  Kila mtu alifikiri kuna ajali imetokea. Baada ya kuuliza waliokuwepo walisema askari wawili wa JWTZ walikuwa wakimwamuru mpiga debe mmoja kuogelea kwenye maji machafu ya Mtaro. Nilipofika Sinza nilisikia mtu mmoja akisema alikuwepo kwenye hilo tukio la kikatili na huyo mpiga debe alikuwa akiambiwa kuogelea kutoka upande mmoja aliopo askari mmoja kwenda upande mwingine alioko pia askari na kurudi.

  Huyo shuhuda alisema kisa ni kwamba askari mmojawapo aliibiwa simu yake ya mkononi wiki iliyopita na hivyo walichokuwa wakifanya ilikuwa ni kutokana na huo wizi. Nilisikitika sana. Ni wazi kuwa hao askari hawakuwa wametumwa na mkuu wao wa kazi kufanya ukatili kama huo kwa mtu ambaye pengine hakuhusika kabisa na wizi uliotokea.

  Huwa nasikia askari akifanyiwa kosa eneo fulani basi huenda kuwakusanya wenzake na kwenda kwenye hilo eneo na kuanza kupiga raia yeyote watakayemkuta. Je, hii ndiyo nidhamu ya jeshi letu. Na kama mambo kama haya yanafanyika wakati tuna amani, kukitokea machafuko askari wetu wata'behave' namna gani? Kwa kweli inasikitisha na hii si utawala bora au wa sheria./COLOR]
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,184
  Trophy Points: 280
  Freud would say this is a manifestation of the failure of the collective psyche of the Tanzanian people to contain the ego in the face of adverse socio-economic condition.The display of sadism is due to lack of discipline, restain, hope a logical thought process, any fairness and a macho simpleton-like outlook towards life.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  What would Jung say?
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,184
  Trophy Points: 280
  Jung would crush Freud over his overindulgence in the proposition of the prominence of logic and the collectivization of societal values over the individual building blocks of that society. He would probably underscore a re-evaluation of some cultural and counter-cultural, most prominently spiritual aspect of the individuals in question.

  In short, most certainly he would prescribe more religion/ spirituality in the armed forces to begin with.
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...I Need and Aspirin! teh teh.
   
 6. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kikwete na watu wake 2010 hahitajiki wapewe watu wengine wa maana...Maana vitu kama hivyo vinatokea sana tena sana sasa hicyo nchi naona kila mtu imekuwa ya kwake mpaka maastari na wenyewe...........
   
 7. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #7
  Apr 3, 2009
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yerooh! Maaasai Kiranga n Ng'waminyani mmeniacha- Freud n Jung hii ni ya Karl Maxi au Lenin au Socrates
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yah yah yah yaaaaaaaaaaaaaaa.....aulisywbrdep cqw. some more light on this one?
   
 9. D

  Damas Member

  #9
  Apr 3, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  yule mtu aliyefanyiwa kitendo hicho angeripoti kikosini kwa askari hao wangechukuliwa hatua kali za kinidhamu. mimi nimeshuhudia askari akimpa mtu sh. 20000/- ili amsamehe baada ya yule jamaa kwenda kumshitaki kikosini kwake.
   
 10. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ASKARI WELL DONE....! KEEP IT UP.....!
  JAMII IMEFUGA WEZI NA VIBAKA NA LAW SYSTEM IMESHINDWA KU-DEAL NAO IPASAVYO....!
  Only jeshi can clean the ongoing UOZO wa jamii yetu!
  ...........THE LAW IS CORRUPT........
   
Loading...