Wakuu nadhani kumekuwa na wageni wengi sana wanaokuja nchini, ambazo wanakaa kwa mda mfupi na kuondoka nikiwepo mimi mmoja wapo, sasa wakuu nadhani nimejaribu kufatilia jibu sijapata ina maana nchi yetu hamna sehemu yenye apartments ambazo zipo fully furnished ambazo wanapangangisha kwa mda mfupi??Maana nimefatilia kuna zingine wana charge dollar 2000 kwa mwezi aisee naona ni parefu sana hapo.
Sasa basi dhumuni hasa la hii thread ni kutaka kujua wapi kuna patikana apartments za bei nzuri na ambazo zipo maeneo mazuri, Naamini JF kuna watu wa kila aina basi naomba kila mtu aweke sehemu ambayo huwa anafikia na amount mfano kwa mwezi ni kiasi gani, naamini itasaidia wengi na sio mimi tu peke yangu.
Raha unatoka safarini unafikia sehemu unakuwa free na sio watu wanaanza kukuangalia kwa kutoa matumizi ndani ya nyumba, so wakuu naomba mfunguke tafadhali apartments zote za jijini dar es salaam ambazo mtu unaweza kufikia kwa mwezi mmoja na ukawa relaxed na ukaingia na kutoka muda wowote upendao msaada tafadhali.
Sio lazima apartments tu hata kama mtu ana nyumba zake anapangisha kwa mda mfupi basi funguka na weka na bei na maeneo yalipo.
N.B Ni kwa dar na sio mikoani