Hodi Wana JF!

kisu

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
1,004
381
Matumaini yangu wote mpo katika afya njema. Nafurahi kujiunga na JF na nadhani kuna faida ya kuelimika ingawa sipati wakati wa kutosha kutembelea JF kwa sababu ya kuwa bize sana, lakini nitajaribu kubajet time. Asanteni.:);)
 
Karibu jamvini kwetu kisu...lakini jina lako linatisha wewe unakata nini? :) Kama unakata mafisadi basi hakuna lalam :)...Umezungumza point kubwa kuhusu kubajeti time yako maana JF is very addictive therefore you have to be very careful how you spend your time here, vinginevyo mambo mengine yanaweza kulala. Karibu sana.
 
Matumaini yangu wote mpo katika afya njema. Nafurahi kujiunga na JF na nadhani kuna faida ya kuelimika ingawa sipati wakati wa kutosha kutembelea JF kwa sababu ya kuwa bize sana, lakini nitajaribu kubajet time. Asanteni.:);)

...mwenzio tangu nilipotembelea hapa JF, hawajaniona tena huko Bize Republic!

Karibu!
 
Asanteni (Wabeja Gutogwa) Belo, Bubu na Mbu. Kisu cha kuwachoma mafisadi lakini wapo mbali na mimi. Nipo Oman lakini nilikulia usu*umani na nilimaliza ya msingi huko na moyo upo TZ, namshukuru BABA WA TAIFA kunisomesha bure. Mungu ibariki Tanzania, wake kwa waume na watoto. Asanteni.:cool:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom