Ndio maana mnakufa na ndoto zenu, kw kuogopa kuonesha hisia zenu, au mmesahau kale kamsemo ketu "raha jipe mwenyewe"?mtoto wa kike ukimpenda mwanaume we Mwambie tu ukweli ukisubiri litakuchwea
Inawezekana ikawa kweli hayo uyasemayo, lkn ulitakiwa ueleze kw kina si Juu Juu tu, sasa hapo mimi nikiyachukua na kumueleza mtu, harafu akiniuliza 7bu zake nitamtosheleza vp
A, alaykum ndg zangu, Kwanza kabisa nawaomba watu wasilete masihara ktk jambo hili, km huna cha kuchangia ni vema ukipita tu kuliko kuleta istizai, ndg zangu jambo hili si dogo hata kidogo, mambo yahusuyo imani yanaathari kubwa kuliko hata mambo ya vyama, na mala nyingi mnyonge akakasirika hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.