Nitajitahd sana nijifunze hzi mambo,asanteni pia kwa elimu!Delvedeep hii ngumu kdg
Nawezaji kuzipata hizi au kuzi-access Mkuu?Onion ni domain
Orbot ni km VPN
delvedeep search engine km duck duck go
Nawezaje kui-download hyo Tor Mkuu?Nimewahi ku-download hio Tor browser na kuzama kwenye dark web. Hakika kuna mambo ya ajabu sana. Nimeona site za kuuza bangi madawa na kujifunza namna ya kuiba kwenye atm. Ni hatari sana
Mkuu,mbona umezidisha chumvi kwenye chakula?![]()
![]()
muthenge kwelii wewe
Nashukur Mkuu kwa elimu!*Tumia tor browser
*Strong VPN
*Km computer yako ina camera ifunike kwa kitu chochote ili mradi isiweze kuonesha au kukuchukua picha au video.
Mengineyo.
Ukiishangia usidownload kitu chochote usichokijua au ku click link yyte usioijua
Hizi ndizo dark web search engine km zilivyo google, bing, yahoo n.k
*Onion.City
*Onion.to
*Not Evil
Huyo jamaa wa Facebook kilimtokea nn mbn nipo Nyuma ya UlimwenguNi rahis kutumia darkweb na ni rahisi kupatwa na tatizo kam hujafuata taratib....
Kutokan na tafiti zilizofanyika, ni 4% ya internet ambayo hutumiwa na jamii yote. Wakat huohuo 96% ya internet ipo darkweb
1: pakua VPN (VIRTUE PRIVATE NETWORK) tumia vpn ya kulipia si ya bure. Vpn itakusaidia kuwa na fake IP address na pia itakusaidia wadukuaji wasitumie identity yako na vitu vilivyo kweny simu au com yako pamoj na picha. Vpn utayotumia iwe inaendana na TOR ( TOR ntaelezea badae)
2: usitumie darkweb kwa kutumia browser za kawaid kwa mf. Google chrome,internet explo, operamini, firefox. BAADA YA KUSET vpn pakua browser inayoitwa TOR, Na unatakiwa ukaipakue kweny tor website. Usipakue sehem nyingin yoyote. Www.torproject.org
3: install TOR BROWSER. hadi hapa utakua umepunguza uwezo wa kujulikana na ulinzi wa kifaa chako
4: anza kutumia TOR browser kwa matumiz ya darkweb
5: usibadilishe size ya TOR browser km unatumia pc. Hii itafanya ujulikan kwa kua utakua na size ya peke ako sabab wte watumiao tor hawabadilish size
6: pia TOR haikufaby wew usijulikane mojmoj kwa 100%, sasa ni lazim ukazime JAVASCRIPT katika tor in setting weka OFF
7: disconnect camera zako au webcam au funika camera zote na tep nyeus. Wadukuaj wanaez kucontrol camera na kujua wew ni nan
8: disconnect spika zote unazotumia au zifunike kwa tep km ulivofany kweny camera. Hata aliyegundua facebook Mark zuckerberg alisahau kufany hvo na anajua hatar ya kilichompata
9: usitumie majin ya ukwel,pich, hata email ako (unapaswa kua na email pekee kwa ajil ya darkweb)
10: usitumie TOR kwa ajili ya jambo lingine isipokua darkweb.,kwa mf. Ukilog in na account yyte itakua rahis kuonekana.
Jahbless
Asante Mkuu, ila umesahau kuhusu VPN, ufafanuzi tafadhaliMkuu:
Umeuliza baadhi ya maswali kama ifuatavyo:---
1. Kwa nini yote hayo
Deep Web ni mtandao wa faragha ambapo baadhi ya watu, taasisi, serikali, wahalifu, watafiti majasusi, biashara halali na haramu ....nk vyote hufanyika huko, ni jukwaa lao la kufanyia kazi, mawasiliano, makavazi....nk. hivyo yeyote anae ingia huko ni lazima awe na sababu maalum pasi na kuwa mzururaji vinginevyo atahesabika kama mdukuzi na ataadhibiwa kwa namna yeyote ile, hakuna kuaminiana huko
2. Ku Manage Java Script.
Kwa kutumia Google Chrome
Fanya ifuatavyo.
Select “Menu”
Settings “Advanced” “Content settings…” “JavaScript“.Type “chrome://settings/content/javascript
Kwenye address bar, utabonyeza “Enter“Scroll down chagua “Adv” option, chagua “Content settings…” button. Hapo utaamua kuchagua “Allowed” or “Blocked” kulingana na utashi wako.
Optiion nyingine, unaweza au kuzuia kwenye website kwa njia “Manage exceptions…” button na uandike URL ya website unayo ikusudia kwenye “Hostname Pattern” field. Baada ya hapo, set the “Behavior” to “Block” or “Allow“. Unaweza vilevile kwa njia hii ku-block baadhi ya sehemu kwenye hiyo website.
Kuhusu swala je nikiacha Java Script itakuwaje?.
Kiuhalisia Java Script ndio ndio common platform inayotumika kwenye websites kwa hivi sasa.
Kwenye Java Platform ni rahisi sana kushambuliwa na virus mfano rahisi hapo utakuta kuna spams,cookies etc .., kuhusu webcam na mic unaweza kuzibandika cellotape au gundi yeyote kwa muda.
Asante Mkuu, ila umesahau kuhusu VPN, ufafanuzi tafadhali
Hata application ya thl huwez piga screen shotmkuu cha kushangaza kule hata screen shot hupigi, duh nimeamini bata hizi simu zetu zinaendeshwa na watu.
Dadek nimecheka mbayaNimejaribu kuingia naona cm yangu inapiga picha za ghetto automatic haizim nimeiacha nje kwanza nawaza nikaiweke kwenye maji chakushangaza kila naipeleka nje naikuta ndan jaman plzz msiingie huko
Not true anymoreHapana huko hakufahi kabisa, niliwahi kuingia na kila siku ilikuwa lazima nitembekee web yao, kuna MTU alinionya kuwa niachane na hii web ila nikawa mmbishi. Kuna siku nimeingia kwenye web yao simu ilizima hapo hapo jumla na mpaka Leo ilishindikana kutengeneza IPO ndani ile smartphone ni kopo nikanunua nyingine. NawaOmbeni achana na hiyo dark web kama huna kazi nao
Not true anymoreHapana huko hakufahi kabisa, niliwahi kuingia na kila siku ilikuwa lazima nitembekee web yao, kuna MTU alinionya kuwa niachane na hii web ila nikawa mmbishi. Kuna siku nimeingia kwenye web yao simu ilizima hapo hapo jumla na mpaka Leo ilishindikana kutengeneza IPO ndani ile smartphone ni kopo nikanunua nyingine. NawaOmbeni achana na hiyo dark web kama huna kazi nao
Mimi nachojali uhai wangu tu kama simu ife tu?kabisa mkuu virusi wapo tena wakutosha
Hivi virus si wanaua simu tu au Wana cha zaidi mkuu?Kwani canera tunaziba je? Kufunga jicho la camera ktk hii device yangu ama?
Ninachoogopa zaidi kuthubutu kuingia huko ni hili tisho la kukwaa virus. Hayo mengine ni ya kawaida tu.
Sasa kama hajawahi asijaribu hao waliowahi walianzaje?Kama hujawahi kuingia usije ukajaribu kabisa huko ni zaidi ya kuzimu hakufai, narudia tena hakufai kabisa
Matatizo kama yapi?Mkuu:
Huko hakuna kuzurula hovyo. Unatakiwa uingie mahali husika kwa kutumia url. Ukianza kuzurula utakutana na wenye miji yao na wanauwezo wa kukuletea matatizo.